Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Waigizaji hatari,mdogo wangu alioa mjita tukaingia mzigon walivyo achana tukachinja mbuzi

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Niliisha wapigia kelele kuhusu hilo na mimi nina ushahidi wa Baba zangu watatu kuoa wajita ila wote walifukuzwa.

Aisee yaani ni wabishi hatari.....
 
da!!!!! ata WAPANGWA wako hivihivi,,,,,yaani kila ulichoandika kinaendana 100% na WAPANGWA,,,alaf wanaroga mpaka vyuma!!!
Hapo kwa Wapangwa (Warundi kwa asili) nina visa kama vyote!
Mzaramo n.k hamshindi Mpangwa kwa mdomo, maulozi n.k.
Ukijichanganya utaona jehamanu live ukiwa hapa duniani.
 
Wajita, Wakwaya, Wakerewe na jamii zao wote. Hawa watu ni wa kuoana wao kwa wao


Ukijifanya kukaza shingo, utajua wewe

Aiseeh hao ulioorodhesha hapo kaa mbali na wanawake wa hayo makabila ni bora usioe kabisa

Eeh shetani, tarumbeta, majuto hivyo vitatu hata ndugu zako hapo sio wanafiki kwenye kukuhurumia wapo serious kweli wanakuhurumia.

Na kujinasua sio rahisi ukiyatimba!

Wana msemo wao SIGA UNGWE!
 
Hao wakujifanya hawataki kutawaliwa oeni nyinyi me nilikula tu nkaacha.
 
Ila huu Uzi umenifanya niache harakati zangu za kukanyandua kadada ka kijita msimu huu wa krismass.

Mtoa mada Mungu akulaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…