min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Wote nilio waona wana mishep kinouma ila kata kichwa tupa kule.Wapo wawili watatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote nilio waona wana mishep kinouma ila kata kichwa tupa kule.Wapo wawili watatu
Kuna jiran ni kama ameoa tarumbeta kelele 24/7 hadi keroTena wakisabato ndio vinala wakuu uko makanisani ni unafiki na kurogana mkuu nina experience na wajita sana sikushauri kabisa kuoa mjita unless na wewe ni mjita
Waigizaji hatari,mdogo wangu alioa mjita tukaingia mzigon walivyo achana tukachinja mbuziKwa wale wataalamu wa lughaza picha watanielewa.
Ipo hivi "ukimkazia mwanamke wa kijita macho , ukamwangalia kwa makini kwa kukutanisha macho ukautafsiri na uao wake utagundua ule upole unao onekana kwenye nyuso na macho yao, nyuma yao kuna ugaidi mkubwa sana.
Kaa mnabisha anzeni kufanyia research hili jambo.
Ni rahasi sana kuitambua tabia ya mwanamke kwa kumwangalia macho na lipsi zake wakati anaongea
😂😂Kuna jiran ni kama ameoa tarumbeta kelele 24/7 hadi kero
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Niliisha wapigia kelele kuhusu hilo na mimi nina ushahidi wa Baba zangu watatu kuoa wajita ila wote walifukuzwa.Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Kiukweli mtu akioa mjita atajuta sana baadaeNiliisha wapigia kelele kuhusu hilo na mimi nina ushahidi wa Baba zangu watatu kuoa wajita ila wote walifukuzwa.
Aisee yaani ni wabishi hatari.....View attachment 2850452
Hivi pesa ni kuanzia shilingi ngapi?.Ukioa mjita na ukawa na pesa basi kaa ukijua muda wako wa kuishi duniani tayari unapunguzwa automatically
Yaani mara oa makabila yote hadi waikizu waliokuwa wanaua wanaume zao ila usiguze mjita....Kiukweli mtu akioa mjita atajuta sana baadae
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa wazazi wanao wajua wajita ukiwapelekea mchumba wa kijita lazima walie kwasababu wanajua huna siku nyingi za kuishi
Hapo kwa Wapangwa (Warundi kwa asili) nina visa kama vyote!da!!!!! ata WAPANGWA wako hivihivi,,,,,yaani kila ulichoandika kinaendana 100% na WAPANGWA,,,alaf wanaroga mpaka vyuma!!!
Wajita, Wakwaya, Wakerewe na jamii zao wote. Hawa watu ni wa kuoana wao kwa wao
Ukijifanya kukaza shingo, utajua wewe