Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Na usiombe mkurya akaweka sinia kichwani eti anauza tubidhaa bidhaa mtaani au mjini.Hata wadada wa kikurya naona wana matatizo. Kama hujamchunguza kwa ndani huwezi kuona. Sometimes naona bora nioe kabila langu tu ujinga wetu tunajuana wenyewe kuliko kufanyiwa ujinga mpya
Huko ndio kiwanda Cha kelele kimejaa,hatari sana kwa afya ya akili.Tatzo wanaume hawapendi kelele sasa wao wanaketa kelele ndy shida ilipo.
Hapa sasa unajaribu kutumia vitisho kumzuia mleta mada asituambie ukweli kuhusu wanawake wa kijita.Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Utakuwa hujapenda tu ha ha ha unatafuta sababu. Kesho utakuja uzi wa wasukuma Pia utaacha... Za kuambiwaBora umeniambia mapema nilikua nishajieka kwa mjita, nimeghairi sasa.
Sitaki kuwatetea... Wewe ulifanya research?Ukweli 100% fanya research utaleta majibu
Na wewe usiwe mjinga, kuna mtu haongei na mama yake? Mmeru wangu anaongea na mama yake masaa daily? Hapa jukwaani kila mtu huleta experience yake.... Kuna uzi wa wameru humu ukisoma kwa hisia kama wewe nisingemuoa huyu mmeru.Kweli aisee maana muda mwingi alikuwa anawasiliana na mama yake.
Ushawekwa kwenye chupaNa wewe usiwe mjinga, kuna mtu haongei na mama yake? Mmeru wangu anaongea na mama yake masaa daily? Hapa jukwaani kila mtu huleta experience yake.... Kuna uzi wa wameru humu ukisoma kwa hisia kama wewe nisingemuoa huyu mmeru.
Japo wajita wanapenda kusengenya sana.
Hakika MkuuNataka niwaeleze vijana ambao hamjao au kuoelewa, Haya mambo yanaongelewaga Humu kimasihara siyo ya kupuuza!!!!!!!
Pima, thibitisha kwa sehemu, chukua hatua, Hakuna kipya, watu tumepita Mazila ya wanawake ya kutosha!
Anapoelezea mtu Jambo la ndoa kwa Uchuntu mjue kapita, msikilizeni, naamini sana katika tamaduni za Makabila.
Utajuaje sasa na wakati upo kwenye chupa mkuuNimeoa mjita asili yangu ni mngoni tuna miaka 17 sasa na watoto 4 sijaona haya yanayosemwa hapa kwani kuna aina ngapi za hao wajita au na walianchari na walianchoka wa mchigondo na mchigundu wanahusika?
Fanya juu chini umpate mdogo wako hewani kwasababu hawakawii kuwateka vijana mazima adi wanasahau kwaoKuna mdogo wangu amezamia ukanda wa huko na hapatikani hata kwenye simu mnanitisha wakuu
Wewe ni dhaifu ndo maana alikupelekesha. Ushahidi ni hayo majibu yako.. Anayekupa mtazamo kinzani unajibu amewekwa kwenye chupa. Man up boyUtajuaje sasa na wakati upo kwenye chupa mkuu
Sina muda na izo jamii za ajabu mkuu nilishatoka uko kitambo sana wewe kama ni mjita na wewe ni wale wale tuWewe ni dhaifu ndo maana alikupelekesha. Ushahidi ni hayo majibu yako.. Anayekupa mtazamo kinzani unajibu amewekwa kwenye chupa. Man up boy
Mimi sio mjita. Lakini na wewe tuambie kabila lako... Karibu Arusha.Sina muda na izo jamii za ajabu mkuu nilishatoka uko kitambo sana wewe kama ni mjita na wewe ni wale wale tu