Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Hata wadada wa kikurya naona wana matatizo. Kama hujamchunguza kwa ndani huwezi kuona. Sometimes naona bora nioe kabila langu tu ujinga wetu tunajuana wenyewe kuliko kufanyiwa ujinga mpya
Na usiombe mkurya akaweka sinia kichwani eti anauza tubidhaa bidhaa mtaani au mjini.
Oya OKW BOBAN SUNZU utachezea manyema fc.
 
Tatzo wanaume hawapendi kelele sasa wao wanaketa kelele ndy shida ilipo.
Huko ndio kiwanda Cha kelele kimejaa,hatari sana kwa afya ya akili.
Sio me sio ke hao waowane wenyewe.
Full uncivilized hata wakisoma Hadi yurope jinsia zote kwa kupenda ngono wakina bambo wakasome
 
Sasa unakwenda kuoa mjita what do you expect, si bora uoe mchagga wa Machame utakuwa na uhakika wa maisha ya ndoa.

Wajita bila kutembeza kipigo unakaa nae vipi? Si ndio wenzao na wakurya hao.
 
Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Hapa sasa unajaribu kutumia vitisho kumzuia mleta mada asituambie ukweli kuhusu wanawake wa kijita.
 
Kweli aisee maana muda mwingi alikuwa anawasiliana na mama yake.
Na wewe usiwe mjinga, kuna mtu haongei na mama yake? Mmeru wangu anaongea na mama yake masaa daily? Hapa jukwaani kila mtu huleta experience yake.... Kuna uzi wa wameru humu ukisoma kwa hisia kama wewe nisingemuoa huyu mmeru.
Japo wajita wanapenda kusengenya sana.
 
Nimeoa mjita asili yangu ni mngoni tuna miaka 17 sasa na watoto 4 sijaona haya yanayosemwa hapa kwani kuna aina ngapi za hao wajita au na walianchari na walianchoka wa mchigondo na mchigundu wanahusika?
 
Nataka niwaeleze vijana ambao hamjao au kuoelewa, Haya mambo yanaongelewaga Humu kimasihara siyo ya kupuuza!!!!!!!

Pima, thibitisha kwa sehemu, chukua hatua, Hakuna kipya, watu tumepita Mazila ya wanawake ya kutosha!

Anapoelezea mtu Jambo la ndoa kwa Uchuntu mjue kapita, msikilizeni, naamini sana katika tamaduni za Makabila.
 
Ushawekwa kwenye chupa
 
Hakika Mkuu
 
Nimeoa mjita asili yangu ni mngoni tuna miaka 17 sasa na watoto 4 sijaona haya yanayosemwa hapa kwani kuna aina ngapi za hao wajita au na walianchari na walianchoka wa mchigondo na mchigundu wanahusika?
Utajuaje sasa na wakati upo kwenye chupa mkuu
 
Wewe ni dhaifu ndo maana alikupelekesha. Ushahidi ni hayo majibu yako.. Anayekupa mtazamo kinzani unajibu amewekwa kwenye chupa. Man up boy
Sina muda na izo jamii za ajabu mkuu nilishatoka uko kitambo sana wewe kama ni mjita na wewe ni wale wale tu
 
Back
Top Bottom