Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Ushauri huu umeanza kuniingia akilini.
Kutumia nguvu ya pesa kumshawishi mwanamke ni hatari tupu.

Ngoja niendelee kufikiria.
 
Leteni maji ya baridi tumwagie huyu, usingizi bado mzito....atalowesha kitanda sio muda
 
Ukweli mchungu,ila kikubwa anatakiwa kuwa mwelewa maana tofauti na hapo unaweza kumuumiza kihisia kama huna stamina ya maneno au uvumilovu maana ni rahisi kumtoa kasoro Kwa sababu sio chaguo lako namba 1.

But mara mia wa hivi kuliko yule ambae wewe unampenda ni hatari
 
Atamwambia Kwa maneno ila Moyo is something else
 
Ulishajiuliza na hizi kauli kutoka kwa mama zao" hivi wewe mwadawa kila siku upo na huyo kijana, kila muda unamuwaza kitombile, kijana mwenyewe hana mbele wala nyuma una waacha wakina Iddy bonge wenye pesa zao unakalio ilo livaa kobazi na miguu yake kama madenge" hapa unapata picha jinsi gani binti anatengenezwa na wazazi wake akiwa mdogo kuwa mwanaume wa kukuoa ni mwenye pesa yaani pesa mbele.... Acha mimi kitombile niendelee kuwapelekea moto mpaka papuchi zao ziwe sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…