Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

Nakuelewa sana mkuu, just know hauko peke ako maana mi naona nikianza kuelezea ntakesha ila mkuu kama itakupendeza eb tufanye namna watu wenye uraibu na hii kitu tuweze kujitoa huku
eleza kidogo
 
Tangu nijue uhuni unaoendelea virtual betting, Huwezi nishawishi kutia stake uko
 
Kama umebeti hadi kuliwa 7m ulistahili na kufukuzwa kazi. Bila shaka ni mtu wa hovyo job.
 
Haha Haha.

Cc monopoly inc
 
Duuh...brother unanielewa sana.

Hii simu kweli kuendelea kuwa nayo nikipata pesa nitacheza tu, bora nisiwe nayo kwa sasa.
 
Najua nakosea Ila ndivyo ninavyo waona watu wanao beti

Huwa nawaona Kama hawako timamu na wavivu
Kwa mtazamo wako huenda ukawa sahihi.

Maana nakumbuka fainali ya world cup mwaka 2022 kati ARGENTINA na UFARANSA.

Msanii drake wa marekani alibeti dau la dolar milion moja (Tsh 2.3 bilion) na kumpa argentina ashinde.

Lakini kilichofata mechi ilitoka draw kwenye 90 minutes hivyo akapoteza tsh 2.3 bilion.

Ila kwake haikuwa shida maana ni sawa na alichukua 1000 katika laki akabetia.
 
[emoji3][emoji3]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…