Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Anafanya ibada na ni mchamungu huku mnadunguana? Okay Haina shida utakuja kushtuka tayari kumesha pambazuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona unakuwa hvy mrembo si uende ukajue anakuitia Nini. Alafu isiwe hvy bana. Kwanza unavyoandika tu unaonekana wewe ni nyota yaani mzuri kama umeumbwa Kwa asali ilio changamana na maziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…