Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Ameshawaharibu wanawake kawaacha halafu anataka wapya..Una watoto watatu unahangaika kuoa ili iweje tafuta jitu la kupunguzia maji lea kwanza madogo janja
Ni kweli ila siamini ataish na mwanamke asizae naye ni possibility ndg sana japo ni his choice good luckanacholalamikia kua yuko mpweke, na wala si kwamba anataka tena watoto ila japo wakuzeeka nae.
Acha tuu bruh,, hapo kazi hamna mwisho unajikuta na watoto na kila mama hata unity ya watoto inakuwa jauAmeshawaharibu wanawake kawaacha halafu anataka wapya..
Huu ubabe hata ibilisi lazima achukue notes
Yeye ndio tatizoSasa mbona sioni tatizo la kutokuoa hapo zaidi ya umalaya wako uliokubuhu na ndio unaokusumbua
Bora mwenye mtoto, at least unajua kizazi kipo okayHivi kipi Bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au kuoa mwanamke asie bikra ila hana mtoto
Iko wapi hii?
kikubwa atakua na uwezo wa kuwalea, mana kiuchumi kasema hana shida.Ni kweli ila siamini ataish na mwanamke asizae naye ni possibility ndg sana japo ni his choice good luck
Yaani umewachezea wanwake kwa kuwazalisha na kuwaacha halafu unashangaa kwnn unateseka kwa kutopata Mke mzuri aliyetulia
Sinza Kitambaa cheusiIko wapi hii?
Waliotoka Katoro?Location achague Mwanza kuna escort wazuri tu
Huko ajipange kutokuwachezea watoto wa watu atapigwa radi mchana kweupe😁😁Nenda Kibondo au Kasulu utanikuja kunishukuru
Mbona pm sijaona au Kuna shida na app ya jfHalafu wewe ukaona unigeuze bibi yako si ndio🙄
Show me your wives I can spot your behaviourPole sana kwa kuzaa na wanawake wajinga Mkuu.
Huyu tuliishi kimjini mjini baada ya kupata naye mtoto WA pili , haikuwa ndoa nikaona azabu anayonipa tuachane tu na ikawa hivo, niliongeza mtoto na mwanamke mwingine aiseee Bora yule wa kwanza , ana lugha ngumu na kelele kuliko kawaida, now na suffer na upweke