Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

Naogopaa😫
Matajiri wa Katoro mna mambo.

Kuna tajiri mmoja anamiliki Mazda Verisa, ila cha ajabu hana uhakika wa pesa ya kula , sasa siku hiyo akawa anaomba nimpige tafu halafu ananiyeomba nimpige tafua ananiita bahili kisa natumia usafiri wa daladala.
 
Ndivyo ilivyo! Hata nauli ya daladala sina ila nikitembea naungua jua😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…