Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Yeah hapo utakuwa Umetisha! Hebu fanya kweli ungeanza mapema na hizi mvua uanze kuzalisha mapema!
Kwa eneo lenye ukubwa gani?๐It's requires a lot of investment watu wengi hawana kipato hicho. Unajua farming for beef ukiwa mjanja it takes 3 to 5 month unakuwa unazuia approximately 700k to 1M yako per cow.
Kwa eneo lenye ukubwa gani?
Njooni Wilaya Kyerwa Mpige Kazi Chap Chap
Hmm kubwaa!๐ค acha tu nilime kwanza๐๐ฝโโ๏ธI think 20 to 50 acres can be enough kwa 100+ cows. Plus some fishing ponds.
Zipo Nyingi KilimoKuna fursa gani huko boss?
Hmm kubwaa!๐ค acha tu nilime kwanza๐๐ฝโโ๏ธ
WANAIGIZA maisha haoKijiji gani unazungumzia kwanza..aisee kuna wilaya moja inaitwa Mbinga kuna vijana wanamiliki pesa buana ..ila hawajui matumizi ya pesa kubadili maisha yao(siwapangi)physically na pesa wanazomiliki tofarent kabisa ..nilshangaa nilipofika kule milioni 10 wanaitamka kama buku tu pesa ya kahawa inaongea
Hapo sawa!๐ Ni long term strategy, unaanza na investment kidogo kwanza hata 10 to 20 zitakufundisha kuliko kuwa na 100 kwa mkupuo. Utajua namna ya kukabili negative outcome utengeneze marginal profit kubwa.
Zipo Nyingi Kilimo
Ununuzi Wa Mazao Kwenda Rwanda, Uganda Chap
Hahahaaaaaaaa๐คฃ hizi biashara zako hizi Huwa zinani vunja mbavu sana hahaaaa, mara kuchoma mahindi, kuuza barafu kutembeza kahawa, haaaaahahaa dah mbavu si zangu aseeeKamata birika la kahawa uwauzie hao abiria wa stendi, baada ya siku tatu utakuwa umepata nauli.
Kweli kabisa, nawaona mjini wanapiga piga makelele tuMaisha ya mjini yamewashinda hawa
Kabisaa!Kweli kabisa, nawaona mjini wanapiga piga makelele tu
Ondoka mjini mapema, ukizeeka huko mjini majirani watakuita mchawiKijijini tutarudi tukishastaafu na kuzeeka , Wewe endelea tu kuchimba visiki na kulima majaruba ukivuna njoo utuuzie mjini
Maisha bora yapo kijijiniTunajua sasa hivi nyama ya ng'ombe imepanda bei, ๐ kwahiyo kidogo tunaorudi vijijini tunaenda kuweka ranch ya maana ya kulisha kinondoni kwa miezi kadhaa. Mbona Hela tutaingiza tu, ni suala la muda.
Kazi zipo tu, tunaweza tukaenjoy life na nature na bado mpunga ukaingia vizuri.
Haya ndio mawazo ya binadamu halisi anayejitambuaYeah ipo hivyo, mjini kuna uhitaji mkubwa zaidi. Tukihangalia kutokana na takwimu. Uzalishaji wa beef farming kutoka vijijini ni mdogo haukidhi mahitaji ya watu wote ndio maana kuna fluctuation ya bei. Nikikamata hekari zangu 20-50 nikaweka samaki plus ng'ombe wachache kwaajili ya biashara sometimes plus shamba la chakula chao probably nagenerate revenue nzuri than most careers za watu wa mjini.
Tumia fursa hii kurudi kijijiniMiaka 7 sijarudi nyumbani na sio mbali ni hapo kihoma lakini kila kitu kwangu kinaenda kinyume nyume