Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Kijiji gani unazungumzia kwanza..aisee kuna wilaya moja inaitwa Mbinga kuna vijana wanamiliki pesa buana ..ila hawajui matumizi ya pesa kubadili maisha yao(siwapangi)physically na pesa wanazomiliki tofarent kabisa ..nilshangaa nilipofika kule milioni 10 wanaitamka kama buku tu pesa ya kahawa inaongea
Mazingira yako vipi huko, kuhusu kilimo, ufugaji, gharama ya ardhi n.kNjooni Wilaya Kyerwa Mpige Kazi Chap Chap
Hizi biashara ndogo ndogo zinalipa sana, huoni tajiri yetu bado anauza barafu?Hahahaaaaaaaa🤣 hizi biashara zako hizi Huwa zinani vunja mbavu sana hahaaaa, mara kuchoma mahindi, kuuza barafu kutembeza kahawa, haaaaahahaa dah mbavu si zangu aseee
Mmesababisha hadi kuku wa kienyeji wapotee dunianiNi mtu kuchagua wapi anapaweza kulingana na akili yake, namna yake ya kuishi na utafutaji. Kila huku kuna faida na hasara zake.
Yupo mtu mjini hapawezi, yupo mtu kijijini hapawezi. Kuna mtu akija mjini anakuja tuu kufuata mambo flani flani au kula bata au kufanya manunuzi na kurudi chaka. Yupo mtu akiwa bush anaona kama dunia imeganda, haizunguki. 😊
Kila mtu ashinde mechi zake.
Ufugaji Huku Wanafuga Pia Ng'ombe Ni Wale Ankole Mapembe MakubwaMazingira yako vipi huko, kuhusu kilimo, ufugaji, gharama ya ardhi n.k
Kilo ya nyama huko inaenda kwa bei gani?Ufugaji Huku Wanafuga Pia Ng'ombe Ni Wale Ankole Mapembe Makubwa
Nipo Hapa Nyakatuntu Anapo Ni Town Kwa Boss Wa Crdb
Zote Hizo Zipo Maana Hapa Gari Za Uganda Na Uwingi Wa Mazao Tele Mzunguuko UpoSijajua lakini maana hata border zote nchini Zina experience Cross Border Trade kutokana na exchange ya bidhaa mbalimbali. Sifahamu vizuri kuhusu Hilo eneo but the main point ni kukaa sehemu yenye fursa
I love youRhabhekhaaa!!
Mkuu hao waliopigika mjini bila kufukuzwa kama wale wa kule Kwa madiba hawawezi kutii bila shuruti.
Hakudanganya, kijijini binti akimaliza darasa la saba linatosha, tena huwa wanashawishiwa wasifaulu ili waolewe, sasa miaka 14 ameshaolewa unategemea nini, mtoto anachishwa kunyonya anapachikwa nyingine ni mwendo wa kupachika tu
Nadhani umeelewa, nilikutana na binti wa miaka 32 anashinda vilabuni anasema mimi nimezaa watoto sita watoto watatu wa baba, hao wengine kila mmoja na baba yao, nikamwambia mbona umri bado sana nikimuwaza mdogo wangu mjini ana miaka 32 hajaolewa wala hana mtoto, na kuna dada mjini kaolewa na miaka yake 36, na kuna mwingine mwezi ujao tunakula ubwabwa ana miaka 38 na watoto juu, kijijini huyo atapaona pachungu.
Kijijini kuna humiliation kubwa kwa watoto wa kike masingo maza vijijini wanaishi maisha ya tabu sana, kubaguliwa, kusimangwa na kusemwa wakati huku mjini wanaitwa supa wimeni
Ugumu wa mjini tofauti na kijijini Mkuu, mimi nashinda huko vijijini elf 2 ni kubwa kwa binti, akihongwa elf 10 ni parefu, kumbuka kuna vijiji ambavyo ni centa na kuna vijiji vya county side huko huko kijijiniInategemea na huyo mwanamke km sio mtafutaji, mbona wapo wengi wanajitafutia, mjini useme wengi huwa hawazai hovyo wanadanga.
Ila ugumu wa maisha uko pale pale, unless wale walioajiriwa.
Rudini vijijini kuna kazi za kung'oa visikiI love you
Inakuwaje huko, bei iwe sawa na mijini wakati kuna ng'ombe wengi?Tzs 12000/= Nyama
Njoo kijijini, punguza foleni mjiniMavi yanakuuma wewe kumbe