Unajikuza tu huko kwenu wapo wengi tu wanaoishi kwenye chumba 1 cha 25,000/ hata nyumba za nyasi hata ukoowako wapo kama unabisha nitajie kabila lako na kijiji chako tuone kama hawapoMwanamke anae kubali kuishi kwenye kachumba ka elfu 25000 mahari yake haifiki hata Laki moja
Huko kwenu ujawai ona mlezi mzazi akimuozesha mwanae?Ndo kitu Cha kujifikiria!!
Soon tunaenda kuongeza single mamaz na watoto wa mitaani waliotelekezwa!
Huko kwenu ujawai ona mlezi mzazi akimuozesha mwanae?Ndo kitu Cha kujifikiria!!
Soon tunaenda kuongeza single mamaz na watoto wa mitaani waliotelekezwa!
Tena hao ndiyo wako wengiMwanamke anae kubali kuishi kwenye kachumba ka elfu 25000 mahari yake haifiki hata Laki moja
Watu wengi wameanza mashi wakiwa 2 baadae waliongezeka wakafikia 10 na maisha yakafunguka hakuna alie anza maishi na kila kitu lakini jambo hili liko kiimani zaidi hakuna ajua kesho yake leo unae muona abalipiwa mahari huwezi jua kesho au watoto wake atakao wazaa wataitwa naniChumba Cha 25k saiv ni sawa, lakini baada ya miaka mitatu ya ndoa itakuaje?
Kama hela yake inaishia kwenye kula na kulipa Kodi, vp akiongeza familia?
Kuoa sio jambo dogo, ndoa ni majukumu
Unaongea usicho kijua uwenda ukawa unajua kuwa wapo walioshindwa kuoa kwa sababu walitakiwa kulipa pesa ambayo hawana ninacho kiona kwako ni kujizima data tuHuwezi kosa mahari ni kuendelea kufuga ujinga tu ..
Kwetu yalikuwa ni mambo ya zaman sana!Huko kwenu ujawai ona mlezi mzazi akimuozesha mwanae?
Kwako milioni 50 unaona nyingi kama mchanga wa ufukwe wa coco lakini Makonde alimwachia kajala gali ya thamani ya m 500 buleUnawekeza nn had utoe mahari ya 50ml?
Wewe ni mshamba wa maisha limbukeniTena usiovumilika
Ni sawa kabsa, uko sahihiWatu wengi wameanza mashi wakiwa 2 baadae waliongezeka wakafikia 10 na maisha yakafunguka hakuna alie anza maishi na kila kitu lakini jambo hili liko kiimani zaidi hakuna ajua kesho yake leo unae muona abalipiwa mahari huwezi jua kesho au watoto wake atakao wazaa wataitwa nani
Wewe leo unae mbeza kesho yake huwezi jua itakuwaje uwenda watoto wake wakaajiriwa na watoto wahuyo alie lipiwa mahara
Huyo babu yako halikosa mahari akalipiwa na walezi wake unajitia kujua kesho yako wewe sio?wengi waliishi maisha ya ufukara lakini baadae wakawa matajiri wengi waliishi maisha ya kifahari lakini maadae wakawa mafukara je ujawai kuona aliyefeli anamuajiri aliyefaulu?Kama umeshidwa kupata mahari itawezaje kujenga nyumbaa? utawezaje kupeleka watoto shule? utawezaje kutunza familia? huduma muhimu kama chakula matibabu pale inapo hitajikaa.
Mkuu....uwe na staha kidogo unapocomment kwa sababu sio ugomvi wala vita!Wewe ni mshamba wa maisha limbukeni
Kuoa sio sababu ya kufa masikini au kutooa na kuishi pekee yako ikawa sababu ya kuwa tajiri maisha haya fomla leo masikini waleo ndie tajiri wakesho tajiri waleo ndie,,,, mambo haya yako kiiimani zaidiSi ndio hapo !!
Kuoa sio mchezo...kama ukiwa peke ako tu , majukumu yamekushinda au unayatimiza kwa tabu
Vipi mkianza kuwa wawili Hadi watano?
Ndoa inahitaji kujipanga kwanza
Huwa mnasema wakristo wana mahari kubwa sana. Waislamu ukiwa na 50,000 tu unaoa.Tatizo lako ufahamu wako uko chini mfano mahari sh 1000,000,muoaji hana lakini anayo kazi kila siku ya kumpatia sh 15,000,za kutumia na mkewe kukusanya pesa sio kazi rahisi baba
Mkuu...achana na hzo myths!! Usikaze fuvu namna hyo!! Huwezi kukaa kulinganisha maisha ya babu zety na ya Sasa! Saiv maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwaHuyo babu yako halikosa mahari akalipiwa na walezi wake unajitia kujua kesho yako wewe sio?wengi waliishi maisha ya ufukara lakini baadae wakawa matajiri wengi waliishi maisha ya kifahari lakini maadae wakawa mafukara je ujawai kuona aliyefeli anamuajiri aliyefaulu?
Ujinga ni mzigo ndio kusema wewe ujawai kuona kijana akilipwa mahari?au huna kwenu?umekulia mitaani ndio maana unashangaaWanatumia mbinu za kiwaki sana kupumbaza vijana na ujinga wa vijana wanaona kweli wamesaidiwa ...
Wewe ndie mpumbavu unaepinga jambo unalolijua kuwa lipoMkuu...achana na hzo myths!! Usikaze fuvu namna hyo!! Huwezi kukaa kulinganisha maisha ya babu zety na ya Sasa! Saiv maisha yamebadilika kwa kiasi kikubwa
Kumwozesha kijana ilihali Hana kitu sio ujanja ni ujinga na upumbavu usiovumilika!
Hao vijana 1000 wameombwa milion 2 nini?Mahari kwa mujibu wa mafundisho ya dini yetu uisilamu ni chochote kitu atakacho kiitaji muolewaji kutoka kwa mtarajiwa wake hiwe pesa dhahabu nyumba gali mkeka viatu pete kwa ujumla mahari haina kiwango
Kuna watu hawalei familia ila hela ya kulewa bar na marafiki na mahawara wanayo tena wanaharibu hata laki tano kila wiki.Sasa kama umeshindwa kulipa mahali utaweza kuishi na mke, nyie vijana wa madrasa msikimbilie na mkafikiri ndoa nikufanya mapenzi tu
Mzazi au ndugu wanaweza kumlipia mahari ila siyo kwa watu baki.Ujinga ni mzigo ndio kusema wewe ujawai kuona kijana akilipwa mahari?au huna kwenu?umekulia mitaani ndio maana unashangaa