Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Artificial bikra, ila moyo hauwezi kuwa fixed. Makovu kila sehemKuna litmus tests lakini ndo hivyo, not reliable.
Mostly the female is on the loosing side, anaangushiwa jumba bovu.
Lakini mzungu akasema ah ah not fair siku hizi bikra za kununua zipo 😏
Ashakua wahovyoDo
Dogo anataka kukua haraka 😅
Si ndo na nyie mnaangushiwa majumba mabovu !!Artificial bikra, ila moyo hauwezi kuwa fixed. Makovu kila sehem
Hii kuiweza inataka uwe umekomaa kifikra kweli kweliLakini pia inategemea na ww kama umemove on kiukweli. Sometime watu wanaruin present,kwa kuwa Bado wanamawazo ya past
We jamaa picha zako unatoaga wapi sijui[emoji28]
Ex ni kisanga. Wanafanya mahusiano yasitulie, na hii yote inatokana na majeraha yaliyobaki mioyoni mwa watuHamna adui mkubwa wa mahusiano mapya au ndoa kama MA-EX. Husiombee ya kutokee, ukimuona mpenzi wako ana mawasiliano na Ex wake hapo 99.9999.... wanapasha kiporo.
Hapo ndipo utakapoona Mungu aliona mbali aliposema tusionjane mpaka ndoa kwani aliyajua haya. Utaanza kufananisha mara anakibamia, mara bwawa,mara anakubwa ila inalala baada ya dk tatu, mara papuchi inatisha ina mashavu mabaya nk.
Hapo bado kwenye changamoto za mahusiano yake mapya au ya ndoa baada ya kutafakari na kutafuta solution ya kudumu atakumbuka best moment za yy na EX wake na kumuona
EX wa maana kuliko mpenzi wake wa sasa
One truth though,Na huu ndio ukweli. Watu ambao wamekutana na shuruba ya kutosha, ili waweze kudumu kwenye mahusiano na kuwa na furaha, wanahitaji mtu ambae hana jeraha, mwenye kuweza kuvumilia sana. Kinyume na hapo, ndio watakuja na hizi kampeni
Nyeto amuachie nani ?Huyo dronedrake nimesikia mwanzoni mwakani anaoa
Na ndio hapo series ya heartbreak inapoendelea. Maana akishagundua hapa kisirani kingi, nae anaondokaOne truth though,
hakuna yeyote anayejipenda atakubali kuwa kwenye mahusiano na mental case subjecting themselves to mistreatment or abuse of any kind!
Kumbe dronedrake ni Domo zege? Ndio maana anaikomalia sana ile kampeni 😅Nyeto amuachie nani ?
Mwenyekiti wangu Ni Timbulo Advanced kabisa ( Mdomo sanamu yaani ushaganda ).
Anampatia wapi huyo kiumbe labda wapo wenye huruma 😂😂
Sahihi kabisa Mkuu.Boomer age bulge[emoji706].
Maswala ya bikra yalishapitwa na wakati millenials sisi si wakoloni. Uwe nayo usiwe nayo. Unaliwa mzigo ukiznguliwa unaachwa. BTTS. Mwanamke atolewe bikra anaacha au anaachwa, we don’t care .
Na tutachukulia kawaida saaana.
Wazee walikaza ubongo, walikua too much know, na walpenda mambo yao yaonekana too official.hawa wazee pia hadi leo wanatufanya ili ufanikiwe lazma usome sana. Of which after time pia itapotea.
Wazungu wao wana sweet sixteen. Kawe bikra kasiwe inakuintroduce kuwa hostess, ajue muda wwte binti anaweza gongwa, na haijalishi yeye ni bikra, ila inaitwa amekua matured.
Rejea sentensinyangu ya kwanza imejibu heading.