Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

Kati ya watu 10 walioolewa wakiwa na bikra ni mmoja tu anaweza kuja kukengeuka mbele ya safari.
Ila katika watu 10 walioolewa bila bikra hao wote wana asilimia kubwa ya kuja kukengeuka uko mbele.
Asilimia kubwa ya waliooa wanawake wasio na bikra hawana furaha kabisa ikitokea amesafiri kwenda mbali wanakuwa na wasiwasi mno kuja kuchapiwa na ex wao

NB:vijana oeni bikra kwa afya ya akili na ustawi wa familia
 
Hakika ukioa bikra lazima utakuwa na afya njema ya akili, waliooa makurumbembe watakuja kupinga.
 
Watajizima Data
 
Sijaona sehemu ambayo mtoa mada amekosea.

Ameshauri wasichana mjitunze adi ndoa

Kashauri pia wanaume tuoe wanawake bikra ili tuwe na amani na furaha na ndoa zidumu
NB kama ulitolewa bikra na hukuolewa nae pambana na hali yako.
 
Ndo maana naandika asilimia kubwa. Maandishi na mawazo yako yataku group kwenye asilimia husika.
Katika ile comment niliyoku-quot, hukuweka neno "asilimia kubwa" , uliongelea wanaume in general.

Alaf next time, tumia neno "baadhi" na sio "asilimia kubwa", maana wenye mitazamo ya aina yake wako wachache
 
Wajinga watakuja kupinga.
 
Sijaona sehemu ambayo mtoa mada amekosea.

Ameshauri wasichana mjitunze adi ndoa

Kashauri pia wanaume tuoe wanawake bikra ili tuwe na amani na furaha na ndoa zidumu
NB kama ulitolewa bikra na hukuolewa nae pambana na hali yako.
Na kama mtu asipopata ndoa?
 
Hivi tukija na conclusion kwamba asilimia kubwa ya wanaume ni mapungasese mtabisha? Your thinking capacity is below zero
Katika ile comment niliyoku-quot, hukuweka neno "asilimia kubwa" , uliongelea wanaume in general.

Alaf next time, tumia neno "baadhi" na sio "asilimia kubwa", maana wenye mitazamo ya aina yake wako wachache
Umeona hicho nilichobold? Kuna tofauti gani kati ya neno baadhi na asilimia kubwa? Mada ya ngapi hii naisoma leo inakashfu wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…