Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Nilikuwa chuo nikajichanganya biashara flani inafanywa kienyeji na pisi kali. Nikaona potential ya kuifanya vyema kwa concentration, sikupata mafanikio kivile. Baadae ndio nikajua wala hata hawaitegemei kuishi ndio maana nashangaa wanaifanya kizembe, nikaacha kujipa stress.

Tangu hapo nikagundua kitu ambacho hakitajwi kwenye business research, fanya research ya kina nani wanafaa biashara flani, the same thing ambavyo mdada mfupi una kitambi huwezi kuwa air hostess ndivyo biashara nyingine zinakataa watu, mdada una mapunye unauzaje skin products.
Na ukitaka kuiiga biashara chunguza wanaoifanya hiyo wanaitegemea kuishi au kuna kitu kingine. Sio uko Mwenge unauza simu pekee unashindana na mwingine ana mishe nyinginezo uko. Kama mnafanana vyanzo vya mapato hapo tafuta unakwama wapi
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wanawake hawajawahi kosa kazi na kazi zao ni nyingi na ndogo ndogo ambazo Lema anatukana.
 
Yes, mko na hisa kwenye Telecommunications industry, particularly TIGO.

You guys are really into "the big thing".

[emoji28][emoji28][emoji28]
Also Airtel, Halotel, TTCL, Zantel, and Vodacom and other not mentioned you can add eniwei
 
Ulimwengu unaendeshwa kibepari na si ujamaa; chochote atakachoweza kufanya ambacho hakipingani na maadili au sheria, afanye tu; muhimu aweze kujikimu kwenye mahitaji yake.​
 
Mama wa nchi yumo jamii forum chief taratibu
 
Sikupingi mkuu
 
Ila watu wazima wanafanya biashara ila vijana wao wanaishi kwa puss zao hela ya kusuka kula n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…