Vijana wengi wa kiume wamejiajiri kwenye boda, wa kike wamejiajiri kwenye nini?

Huo ndo ukwel unakuta mdada kapanga room ya maana tu na ukichek biashara yake eti ni kuuza kanga real!
Na ukiona Mwanamke kapanga tena Room kali ishi nae kwa akili sana.
.1- Hiyo ni Ofisi yake (Umalaya)
.2- Hapo kapangiwa na Mwanaume wake(Mjinga mjinga mmoja (SPONSOR))
.3- Ni kweli kafight kapanga.(5/100)
 
Exactly.... Na wanapeana vichwa kwa kujiita MALKIA WA NGUVU hali ya kuwa hiyo biashara inampa hasara ila Namna/Nyenzo nyingine inakwamua hilo swala.

Mwanamke si wa kushindana nae kbs ktk maswala ya Biashara hata kiuhalisia Akija mwanamke mzuri anauza kitu mara nyingi utanunua kile kitu kiunafki (Hujakipenda sana), ila utachukua mawasiliano hapo then ujaribu bahat yako. So automatically hajauza product moja hapo na Wanawake wapo very strategic tujiulize why ktk MABANK wanatumia warembo kwenda kushawishi wateja wachukue MIKOPO?!! au hata ktk hizo kampuni za Ndege wanachukua warembo tuu ndio ujue Umalaya na Biashara kwa Mwanamke ni pipa na mfuniko...
 
Kwenye udangaji.
 
Tupo wateja, Mimi kwa experience naona hawa wanatupitishia sijui samaki, mboga mboga n.k majumbani, wakiingia nyumba watu wanakaa single wanagongwa sana, Mimi kuna kadhaa uwa wananiambia hela yako tu.
Sasa hao nao ni wanawake wa kujivunia mkuu? Hebu nioneshe mwanamke aina hii ambaye anauza mboga mboga aniletee nyumbani kwangu weekend.
 
Hahahahahah bila shaka itakuwa ile biashara ya kuuza ubuyu wa babu Issa kwenye vipakti vya maua maua na vikopo vya glass vile 🤣🤣🤣 ukahisi zile buku buku ndio zinawalipa sio?
 
Na ukiona Mwanamke kapanga tena Room kali ishi nae kwa akili sana.
.1- Hiyo ni Ofisi yake (Umalaya)
.2- Hapo kapangiwa na Mwanaume wake(Mjinga mjinga mmoja (SPONSOR))
.3- Ni kweli kafight kapanga.(5/100)
Ogopa sana hio namba 1 na 2 kama mwanamke mwenyewe ana sura na shape nzuri ya kuvutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…