Usikate tamaa kila kitu na wakati wake wenda labda unachagua ambao sio wa level zako ila trust me hapa dunian kila mtu yupo yule ampandae kwa dhatiApo kwenye nimpende na anipende ndo changamoto maana toka nimekuwa mkubwa napendaga tuu hata sipendwi basi hadi nimekata tamaaa
Amina nakuombea na wewe ukapate kufurahia ndoa yako kama mimiHongera sana kila lakheri.
Hapo ndipo mnapokosea vijana kwenye imagination halafu ukiingia ndani unakuta kinyumeMbona mnamuuliza ndoa yake ina muda gani jamani. Huyu hajaoa ila ana imagine ndoa inavyokuwa.
Mpeni muongozo
Ni kwel ila nyota njema huonekana asubuhiHakuna aliefanikiwa kwenye ndoa akiwa hai hata siku moja mnaweza mkaishi kwa amani miaka 40 ila mafao yakaja kuharibu ndoa au kitu kingine chochote kwa hyo kuweni wapole msilete ushuhuda hapa wakati safari bado ndefu.
Amen, tuombeane Kheri Ndugu tuzidi kuwa na ndoa tamu yenye upendo, furaha na amani tele.
Amina sana mkuuAmen, tuombeane Kheri Ndugu tuzidi kuwa na ndoa tamu yenye upendo, furaha na amani tele.
Ni kwel kinachonisikitisha ni jinsi watu wanavyodhan kila mtu kwenye ndoa basi anateseka na ndoa yaoNaona watu humu wanavyopushi ndoa yako iwe kama yao!!
Nakubari sana
Umeongea poit sana mkuu
Upate mtu atakae kusoma.....just muelewane
Mistakes nyingi wanazofanya wanaume moja wapo nikuwaficha wanawake wao uharisia wao
Unakuta mke hakutambui wewe mumeo ki vyovyote vile
Amina sanaEndelea kuomba Mungu iendelee kuwa hivyo siku zote,hiyo stage ndio wengi tulipopatia vitambi...
Mwanamke sio chanzo cha mafanikio yako.
Inabidi kwanza wewe uwe na ambitions then mke asikupe stress za kijinga ndo utaona mafanikio
Umeongea yoteNdoa bila maombi mnadumbukia shimoni, maana sio mpango wa shetani maana anaichukia na ni lazima awapaitishe kwenye miba na mtachukiana utazani mlilazimishwa kupendana wakati mlichaguana kwa akili zenu wenyewe