Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Apo kwenye nimpende na anipende ndo changamoto maana toka nimekuwa mkubwa napendaga tuu hata sipendwi basi hadi nimekata tamaaa
Usikate tamaa kila kitu na wakati wake wenda labda unachagua ambao sio wa level zako ila trust me hapa dunian kila mtu yupo yule ampandae kwa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa viumbe huwa natamani ukaribu nao lakini wengi ni hatari

Kama huwezi kujitoa ufahamu mara mojamoja huwez kwenda nao sawa
 
Hakuna aliefanikiwa kwenye ndoa akiwa hai hata siku moja mnaweza mkaishi kwa amani miaka 40 ila mafao yakaja kuharibu ndoa au kitu kingine chochote kwa hyo kuweni wapole msilete ushuhuda hapa wakati safari bado ndefu.
 
Mwanamke sio chanzo cha mafanikio yako.

Inabidi kwanza wewe uwe na ambitions then mke asikupe stress za kijinga ndo utaona mafanikio.

Mwanamke sio chanzo cha mafanikio ya mtu yeyote yule unless km utasema pia mwanamke ndo chanzo cha kukosa mafanikio
 
Hakuna aliefanikiwa kwenye ndoa akiwa hai hata siku moja mnaweza mkaishi kwa amani miaka 40 ila mafao yakaja kuharibu ndoa au kitu kingine chochote kwa hyo kuweni wapole msilete ushuhuda hapa wakati safari bado ndefu.
Ni kwel ila nyota njema huonekana asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu humu wanavyopushi ndoa yako iwe kama yao!!
Nakubari sana
Umeongea poit sana mkuu
Upate mtu atakae kusoma.....just muelewane
Mistakes nyingi wanazofanya wanaume moja wapo nikuwaficha wanawake wao uharisia wao
Unakuta mke hakutambui wewe mumeo ki vyovyote vile
 
Ni kwel kinachonisikitisha ni jinsi watu wanavyodhan kila mtu kwenye ndoa basi anateseka na ndoa yao
Ila kuna watu kama me tuna enjoy sana na muda mwingine tunajilaumu kwanini tulichelewa kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuomba Mungu iendelee kuwa hivyo siku zote,hiyo stage ndio wengi tulipopatia vitambi...
 
Ndoa bila maombi mnadumbukia shimoni, maana sio mpango wa shetani maana anaichukia na ni lazima awapaitishe kwenye miba na mtachukiana utazani mlilazimishwa kupendana wakati mlichaguana kwa akili zenu wenyewe
Umeongea yote
 
Ni kweli ndoa ni kitulizo .vijana acheni kuhangaika kununua malaya mtakufa na ukimwi.kijana chagua mke unae mpenda oa ishi nae bila stress.ndoa ni cheap uzinifu ni ghali mno.kwanza wazinifu wanakufa mapema kwa msongo wa mawazo na kutokujali afya zao.
 
Back
Top Bottom