johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😀😀😀Bladifaken, busara zipi kubadirisha mkataba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Bladifaken, busara zipi kubadirisha mkataba?
kinachonishangaza kwa nini serikali inatumia nguvu kubwa hiivi sasa kuwaaminisha watanganyika kuwa mkataba huo una manufaa?kwa nini hawakufanya vile kabla hata huo mkataba haujapelekwa bungeni?kuna nini nyuma ya pazia?Wazee wa Dini Wana busara zao
Ila wangemtumia Kabudi kuongea nao!
Kwa sababu Bandari ndio Shamba la Watu wa DSMkinachonishangaza kwa nini serikali inatumia nguvu kubwa hiivi sasa kuwaaminisha watanganyika kuwa mkataba huo una manufaa?kwa nini hawakufanya vile kabla hata huo mkataba haujapelekwa bungeni?kuna nini nyuma ya pazia?
Huyu anawafanya viongozi wa dini hawana akili?Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na viongozi mbalimbali wa dini kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 12, 2023.
Prof. Makame Mbarawa: Azimio hilo la ushirikiano limepitishwa na Bunge Juni 10, 2023, lakini pamoja na hivyo Serikali ya Tanzania imeona kuna umuhimu wa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu mkataba huo.
Ufanisi wa uendeshaji wa Bandari bado ni wa kiwango cha chini, Meli kutumia muda mrefu kupakua mzigo, meli kubwa kushindwa kuingia kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kuchukua muda mrefu kuingia Bandarini.
Ili kutoendelea na hali hiyo, tangu Mwaka 2003, Serikali iliingia mkataba na TICTS kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za Bandarini.
Mwaka 2017 Serikali ilifanya mabadiliko makubwa katika mkataba lakini Mwaka 2022 Serikali iliona hakuna umuhimu wa kuendelea kufanya kazi na TICTS.
Kampuni mbalimbali zikapewa nafasi ya kuwekeza kwenye soko la Bandari, baada ya mawasilisho ya kampuni kadhaa, Serikali iliamua kufanya majadiliani na Kampun ya DP World kutokana na uzoefu wake katika soko la Barani Ulaya, Asia na Afrika.
Kampuni hiyo pia inamiliki zaidi ya meli 100 Duniani.
Serikali ilibaini kuwa wawekezaji wengine waliowasilisha maombi yao hawakuwa na uzoefu kama ilivyo Kampuni ya DP World.
Baada ya Serikali kuanza mazungumzo na DP World, iliunda Kamati kwa ajili ya kupitia na kufuatilia mkataba huo.
Baada ya mchakato wote mkataba ulitakiwa kuwasilishwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge kabla ya kuendelea na utekelezaji.
Mikataba ambayo taandaliwa ndani ya makubaliano iyakuwa na muda maaluma waukomo wa miradi, mikataba hiyo pia itasimamiwa chini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu.
Miradi itakayoandaliwa italinda ajira za Wazawa.
Mifumo ya TEHAMA ya Kampuni ya DP World itasomana na ile ya Serikali.
Wamezoea kuendesha mambo kwa ghiliba kubwa. Hapo wana hofu kuwa viongozi wa dini wataanza kuwaambia waumini makanisani kuwa bandari imeuzwa kwa mwarabu kwa bei isiyojulikana, malipo ambayo wamepokea viongozi na wabunge bandia wa CCM.Badala azungumze na wataalam wa shetia wamhoji maswali anazungumza na wazee wa dini wao na mikataba wapi na wapi. Hii nchi ina vituko kweli
Ngoja tumsikilizeHuyu anawafanya viongozi wa dini hawana akili?
Atawadanganya kuwa Serikali iliona kabla ya utekelezaji wa mkataba kuanza, uende kwanza kuridhiwa na Bunge, wakati mkataba ulikwishaanza kutekelezwa mara baada ya kusainiwa!
Mwanzoni wamewadanganya watu kuwa eti bungeni kilichoenda ni MoU wakati umepelekwa mkataba mkuu ambao tayari umesainiwa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na viongozi mbalimbali wa dini kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 12, 2023.
Prof. Makame Mbarawa: Azimio hilo la ushirikiano limepitishwa na Bunge Juni 10, 2023, lakini pamoja na hivyo Serikali ya Tanzania imeona kuna umuhimu wa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu mkataba huo.
Ufanisi wa uendeshaji wa Bandari bado ni wa kiwango cha chini, Meli kutumia muda mrefu kupakua mzigo, meli kubwa kushindwa kuingia kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kuchukua muda mrefu kuingia Bandarini.
Ili kutoendelea na hali hiyo, tangu Mwaka 2003, Serikali iliingia mkataba na TICTS kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za Bandarini.
Mwaka 2017 Serikali ilifanya mabadiliko makubwa katika mkataba lakini Mwaka 2022 Serikali iliona hakuna umuhimu wa kuendelea kufanya kazi na TICTS.
Kampuni mbalimbali zikapewa nafasi ya kuwekeza kwenye soko la Bandari, baada ya mawasilisho ya kampuni kadhaa, Serikali iliamua kufanya majadiliani na Kampun ya DP World kutokana na uzoefu wake katika soko la Barani Ulaya, Asia na Afrika.
Kampuni hiyo pia inamiliki zaidi ya meli 100 Duniani.
Serikali ilibaini kuwa wawekezaji wengine waliowasilisha maombi yao hawakuwa na uzoefu kama ilivyo Kampuni ya DP World.
Baada ya Serikali kuanza mazungumzo na DP World, iliunda Kamati kwa ajili ya kupitia na kufuatilia mkataba huo.
Baada ya mchakato wote mkataba ulitakiwa kuwasilishwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge kabla ya kuendelea na utekelezaji.
Mikataba ambayo taandaliwa ndani ya makubaliano iyakuwa na muda maaluma waukomo wa miradi, mikataba hiyo pia itasimamiwa chini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu.
Miradi itakayoandaliwa italinda ajira za Wazawa.
Mifumo ya TEHAMA ya Kampuni ya DP World itasomana na ile ya Serikali.
Nimekupata sana, kumbe muda mwingine unakuwa na busaraKwa sababu Bandari ndio Shamba la Watu wa DSM
Zingatia sana hii comment!
Mkataba upo since 2022,hakuna Cha kubadilisha hata angeamka Nyerere mwenyewe😔😔Bladifaken, busara zipi kubadirisha mkataba?
Yote ya nini hayo ? Ni nani kamuita mwenzake na kwanini , kwani viongozi wa dini hawaangalii bunge ?Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na viongozi mbalimbali wa dini kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu Juni 12, 2023.
Prof. Makame Mbarawa: Azimio hilo la ushirikiano limepitishwa na Bunge Juni 10, 2023, lakini pamoja na hivyo Serikali ya Tanzania imeona kuna umuhimu wa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu mkataba huo.
Ufanisi wa uendeshaji wa Bandari bado ni wa kiwango cha chini, Meli kutumia muda mrefu kupakua mzigo, meli kubwa kushindwa kuingia kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kuchukua muda mrefu kuingia Bandarini.
Ili kutoendelea na hali hiyo, tangu Mwaka 2003, Serikali iliingia mkataba na TICTS kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za Bandarini.
Mwaka 2017 Serikali ilifanya mabadiliko makubwa katika mkataba lakini Mwaka 2022 Serikali iliona hakuna umuhimu wa kuendelea kufanya kazi na TICTS.
Kampuni mbalimbali zikapewa nafasi ya kuwekeza kwenye soko la Bandari, baada ya mawasilisho ya kampuni kadhaa, Serikali iliamua kufanya majadiliani na Kampun ya DP World kutokana na uzoefu wake katika soko la Barani Ulaya, Asia na Afrika.
Kampuni hiyo pia inamiliki zaidi ya meli 100 Duniani.
Serikali ilibaini kuwa wawekezaji wengine waliowasilisha maombi yao hawakuwa na uzoefu kama ilivyo Kampuni ya DP World.
Baada ya Serikali kuanza mazungumzo na DP World, iliunda Kamati kwa ajili ya kupitia na kufuatilia mkataba huo.
Baada ya mchakato wote mkataba ulitakiwa kuwasilishwa Bungeni na kuridhiwa na Bunge kabla ya kuendelea na utekelezaji.
Mikataba ambayo taandaliwa ndani ya makubaliano iyakuwa na muda maaluma waukomo wa miradi, mikataba hiyo pia itasimamiwa chini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu.
Miradi itakayoandaliwa italinda ajira za Wazawa.
Mifumo ya TEHAMA ya Kampuni ya DP World itasomana na ile ya Serikali.
alijibuje?Hilo swali lilishajibiwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar!
Mbona CCM imetugeuza Watumwa kwa miongo mingi na huwa unaikatia viuno humu.Tunageuzwa kuwa watumwa
Umeona eh! wanajua hujuma waliyoifanyaMbona zinatumika nguvu nyingi sana kuna nini
DP world dunia nzima kwenye nchi zaidi ya 6 walizo wekeza inawafanyakazi 103,000 unategemea hao watanzania 70,000 itatokea wapi? Sio wajinga kiasi hichotunataka kuona hizo ajira za watotot wetu 70,000.
Na kwanini awaite viongozi wa dini , anataka kuwaongopea nini ?Elimu ya namna gani anaitoa!?
Halafu ni nchi gani nyingine ambayo walipouza bandari waliita viongozi wa Dini ?Mbona zinatumika nguvu nyingi sana kuna nini
Utakuta na mchungaji Msigwa kaalikwa😀😀Yote ya nini hayo ? Ni nani kamuita mwenzake na kwanini , kwani viongozi wa dini hawaangalii bunge ?