johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
SomaliaHalafu ni nchi gani nyingine ambayo walipouza bandari waliita viongozi wa Dini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SomaliaHalafu ni nchi gani nyingine ambayo walipouza bandari waliita viongozi wa Dini ?
Yap,unapojitetea sana Inaonyesha kuna Jambo unaficha,kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.Time will tell.Kama wanajua una tija wasitumie nguvu kubwa kutuaminisha badala yake wasubiri waje watuoneshe matunda yake
Tufanye na mpango bunge tutafute mwekezajiUmeona eh! wanajua hujuma waliyoifanya
Upendo TVWako live kwenye channel gani
Wameitwa kuuombea mkataba,ufanikiwe kwa jina la Yesu.Hawa viongozi wa dini wataongeza au kupunguza nini katika huo mkataba?!
Wanataka kula ubwabwa tu hao.
Baadhi ya viongozi wa Dini mbalimbali walioshiriki katika mkututano huu ni;Mbarawa, umewaambia hao mapadre kwanini bandari na ardhi ya Zanzibar havimo Kwenye mkataba?
Yaani wanazidi kuharibu baadala ya kutengeneze,kwanza asilima kubwa waliouzuria ni walewale wa muarabu,aliyeuza inchi ni yuleyule mjomba wao,Baadhi ya viongozi wa Dini mbalimbali walioshiriki katika mkututano huu ni;
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji, Moses Matonya
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Stanley Hotay
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Mkuu, Gervas Nyaisonga
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Viongozi wa Dini kuhusu haki za kiuchumi na uadilifu wa uumbaji (ISCEJIC), Sheikh Khamis Mataka
Katibu mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKATWA), Alhaj Nuhu Jabir Mruma
Shehe Ponda hakuwepo?Baadhi ya viongozi wa Dini mbalimbali walioshiriki katika mkututano huu ni;
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Mchungaji, Moses Matonya
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Stanley Hotay
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Mkuu, Gervas Nyaisonga
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Viongozi wa Dini kuhusu haki za kiuchumi na uadilifu wa uumbaji (ISCEJIC), Sheikh Khamis Mataka
Katibu mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKATWA), Alhaj Nuhu Jabir Mruma
kumbe walishagundua tatizo likowpSuala hapa sio kiwango cha ufanisi!
Tatizo hapa sio kuhusu mradi au bandari kutokidhi vigezo!
Tatizo liko kwenye vipengele vya mkataba kuwa vya kinyonyaji zaidi kwa Dubai kupewa umiliki wa maamuzi kuhusu bandari ambayo kiuhalisia sio mali yao!
Tunageuzwa kuwa watumwa wao 8lhali sisi ndio wqmiliki halali.
Tatizo pia ni kwa serikali ya CCM kutumia ubabe na ghiriba kulazimisha mkataba huu kupitishwa ilhali ulihitaji kujadiliwa na wadau kitaifa,tena bila uficho!
Haraka ya nini,kama tumeumizwa over 40 years?
Kwa nini tusiwe waaangalifu na umakini kwa hili?
Alijibuje? Kama hutojali kunijuza, nimepitwa na hilo.Hilo swali lilishajibiwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar!
Mbona hawapo hewani mkuu au ni Upendo ipiUpendo TV
Amesema Bandari kila upande inashughulikia kivyake Tanzania Bara Wanajitegemea na Zanzibar Wanajitegemea hawaingilianiAlijibuje? Kama hutojali kunijuza, nimepitwa na hilo.
Kwanza, kama ni kweli viongozi wote wakubwa wa wizara ni wazenji, hili ni tatizo la kwanza.
Pili, kama ni kweli, mkataba ulishainiwa kisha ndo ukapelekwa bungeni, nini kingebadilka?
- Elimu gani inayotolewa kwa viongozi wa dini baada ya mkataba kusainiwa kabla ya bunge na hata baada ya bunge kuridhia?
Mwisho, kama hamtojali, mnaweza kutupa majina ya watu walioshiriki kwenye hiyo kamati, TUWAFAHAMU?
Wataanza na sala Kisha kumaliza kwa kauli " Mamlaka zote duniani huwekwa na Bwana" ridiculous. Mtihano wa mwaka 2003 somo la GS kulikuwa na swali linasema "Assess the Maxist view that Religion is an opium of the people". Wanatafuta justification kwa kutumia viongozi wa dini kwa vile wanajua wanawamudu , pili wana watu wengi nyuma yao hivyo kufanya kazi yao kuwa nyepesi.Umeona upuuzi, sasa huko Kuna Nini Cha maana watamwambia