kinachonishangaza kwa nini serikali inatumia nguvu kubwa hiivi sasa kuwaaminisha watanganyika kuwa mkataba huo una manufaa?kwa nini hawakufanya vile kabla hata huo mkataba haujapelekwa bungeni?kuna nini nyuma ya pazia?
Kwa sababu Bandari ndio Shamba la Watu wa DSM

Zingatia sana hii comment!
 
Huyu anawafanya viongozi wa dini hawana akili?

Atawadanganya kuwa Serikali iliona kabla ya utekelezaji wa mkataba kuanza, uende kwanza kuridhiwa na Bunge, wakati mkataba ulikwishaanza kutekelezwa mara baada ya kusainiwa!

Mwanzoni wamewadanganya watu kuwa eti bungeni kilichoenda ni MoU wakati umepelekwa mkataba mkuu ambao tayari umesainiwa.
 
Badala azungumze na wataalam wa shetia wamhoji maswali anazungumza na wazee wa dini wao na mikataba wapi na wapi. Hii nchi ina vituko kweli
Wamezoea kuendesha mambo kwa ghiliba kubwa. Hapo wana hofu kuwa viongozi wa dini wataanza kuwaambia waumini makanisani kuwa bandari imeuzwa kwa mwarabu kwa bei isiyojulikana, malipo ambayo wamepokea viongozi na wabunge bandia wa CCM.
 
Ngoja tumsikilize

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 


Kwani kwenye huo mkataba kuna vifungu vya Qur'an na Biblia kiasi kwamba viongozi wa dini wazungumze na waziri??- ni kwanini wasingezungumza mapema kabla ya mkataba kutiwa saini ??
 
Watu Wanavyo chukia maswala ya dini wasidhani hao jamaa wataweza kuwapooza majita hasira zao
 
Yote ya nini hayo ? Ni nani kamuita mwenzake na kwanini , kwani viongozi wa dini hawaangalii bunge ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…