Huwezi kusema instruments za nchi zitafanya kazi zake bandarini kwa uhuru ili hali umempa mwarabu umiliki, ngumu kumesa.........huo ni mtego baba tushashtuka kitambo.
 
wawadanganye wajinga wengi hii ni dunia nyingine kabisa hakuna jambo hata moja litakalojificha kwa namna yoyote ile tusubiri 2025 tukawashtaki kwa wanannchi.


Ili CCM ianguke ilipaswa ifanye kosa kubwa sana na kosa lenyewe ni hilo la mkataba wa bandari zetu, karibu kila mwananchi kashikwa na huzuni kuhusu hilo suala hivyo CCM imejitia kitanzi, kilichobaki ni wakati tu kwa Wapinzani kuvuta kitanzi, 2025 ndio wakati wenyewe.
 
Viongozi wa Dini hofu yao wameielekeza kwenye wasiwasi kwenye mambo ya kama ya Shakahola na wala sio mkataba.
 
Kwani kwenye huo mkataba kuna vifungu vya Qur'an na Biblia kiasi kwamba viongozi wa dini wazungumze na waziri??- ni kwanini wasingezungumza mapema kabla ya mkataba kutiwa saini ??
.
 
Asante kwa ufafanuzi.

Utaratibu wa kuanza kufanya hizo amendment mbona hautangazwi.? Haya mapungufu yaliyoonekana kwa Sasa , kwa nini yasiwe amended Sasa?
Wewe agreement umeiona? Wapi?
Wasikilize wabunge wako pamoja na Waziri wako; acha kuhangaika na upotoshaji wa kisiasa ulioko kwenye mitandao
 
Kama Mkataba wa Fei Toto ulishindikana kutafsiriwa itakuwa huu wa Likampuni la Dunia😀😀
 
Askofu Gervais Nyaisonga huwa ni kibaraka wa CCM, bora angekuwepo katibu mkuu wa tec Dr Charles Kitima
Kakobe,Boganza,na wengineo walikiwasha awamu ya Tano.

[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wewe agreement umeiona? Wapi?
Wasikilize wabunge wako pamoja na Waziri wako; acha kuhangaika na upotoshaji wa kisiasa ulioko kwenye mitandao
Acha uzushi. Spika wa bunge kaongea wazi kwamba mkataba umeletwa bungeni baada ya kusainiwa. Halafu jiulize Kama hayo makubaliano sio enforciable by law juzi bunge lilikiwa linapitisha Jambo gani?. Kama halina nguvu kisheria lilienda bungeni kufanya Nini? Acha upotoshaji.
 
Punguza upotoshaji. Eti kuuziana ng'ombe. Hayo uliyoandika ungeenda kumwambia spika Tulia wa bungeni aliyetuambia mkataba umeshasainiwa ndio maana umeletwa bungeni kupitishwa na Bunge ili iwe sheria ya kimataifa au tuseme iwe na binding force under international tribunals and courts. Acha kupotosha.
 
Changamoto hizo zingejadiliwa na kufafanuliwa vizuri;
Tatizo ni kukosekana kwa mitambo ya kisasa na ya kutosheleza au ni uwezo wa utawala?
Mambo ya TEHAMA na ujuzi wa wafanyakazi ni blah blah tu, wapo na watakuwepo wengi. Hili siyo tatizo tena kwa dunia ya sasa, wanakaririshwa tu wasiojua.
 
Hao viogozi wa dini wamepewa muda was kuuliza maswali au wamepewa tu taarifa ya upande mmoja?
 
Wewe ndio huelewi kitu. Eti agreement is not enforciable by law. Kasome definition ya Contract kwenye sheria za Tanzania. The Law of Contract Act RE 2019, section 2 a contract is any agreement enforciable by law. Wewe unatuambia agreement is not enforceable by law lakini sheria inatuambia Contract ni agreement enforceable by law. Tukusiklize wewe au sheria.
 
Huo mkataba ni mbovu.

Azimio ni batili.

Simply ni kuachana nalo tu kwani ugumu unatokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…