Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai
Kwa nini tuwe na Serikali inayoshindwa kuwasimamia wataalam wake na kuteua watu wenye uwezo ?
Serikali ya Falme za Kiarabu miaka 50 iliyopita haikuwa hivyo Bali ilichofanya ni kuwasimamia wataalam wake na watu iliyowaamini Kwa Nguvu ZOTE.

Rwanda miaka 30 iliyopita haikuwa kama ilivyo leo . Alichofanya Kagame ni kuwasimamia vilivyo watu wake na Kila pato wanalopata liwe la kutoka Kongo au Msaada au vyovyote .

Tanzania Kwa miaka Mitano ya MAGUFULI tulifikia uchumi Wa kati kutokana na usimamizi mkali .

Leo Awamu ya SITA nchi inauzwa Kwa sababu ya kuwaonea aibu wezi na kukumbatia matumizi makubwa na ya hovyo ya Serikali.

Unauzaje Bandari inayoingiza pesa.
Yaani tulishindwa kuua bandari ya Dubai Kwa kujenga Bandari huru Zanzibar na kuingia nao mkataba Wa pamoja?
Yani kuliko kuiinua Zanzibar au Bagamoyo Bora tuneemeshe familia ya MTU mmoja kule Dubai na nchi yake ?

Serikali imeshindwa kuteua wataalam Hata wenye uraia Wa nje lakini watanzania wakaja kuiinua ufanisi Wa Bandari zetu.

Kwa nini tunaingiza siasa kwenye mashirika ya umma Badala ya utaalamu?
CCM hii ikiungana Italiua taifa hili na kuwaacha watoto WETU vurugu Kama zinazotokea kule Sudani na Kongo.

Kongo inawawekezaji wengi sana Lakini hawana tija Kwa usalama Wa Kongo ndicho kinachokwenda kutokea Tanzania . Uwekezaji una picha picha za uarabu na udini Dini na ushabiki wake ni Wa rushwa na udini Dini . Waafrika tumelogwa .
Tumekua na watawala wenye hulka hizo hizo za ushabiki shabiki na unafiki.
Nilimsikiliza Kitila Mkumbo alivyokua anatoa mchango wake Bungeni. Yaani utumbo mtupu haelezi suala la kiuchumi zaidi ya blabla na kujichanganya mara hakuna mikataba mara mikataba huu mara uko Sawa mara turekebishe , yaani ni full kutetea tumbo lake .
Hawa hawafai kabisa kuandaa Kesho ya Taifa letu zaidi ya nafasi zao.

Mwarabu hataleta Hata shilingi moja kuendekeza bandari Zaidi ya Kutumia rasilimali zilizopo pale Bandarini kupata mtaji na kuiendeleza na kupata faida. Yuko wapi aliyenunua Kiwanda Cha General Tyres. Karne hili yenye magari mpaka vijijini lakini ndio anaua Kiwanda na kuagiza Tairi china wakati Kiwanda kulifanya KAZI wakati mahari yalipokuwa yakuhesabu.

Hakuna muujiza Wa Mwekezaji anayetaka kuimarisha Nchi na bandari ya Dubai kuiendeleza bandari ya Dar es salaam na kuihujumu bandari ya Nchi yake anayoiongiza . Hofu waliyokuwa nayo Nchi za magharibi na Dubai ni kujengwa Kwa Bandari ya Bagamoyo. Sasa iweje waje kuiendeleza ? Na ikumbukwe KUWA Waarabu Karne nyingi wanataka kuona Ukanda Wa Afrika Mashariki ukiwa chini ya udhibiti wao kibiashara

Zanzibar Sio Wajinga kukaa kimya na kumkwepa huyo mkoloni anayetaka kurejesha usultani Tanzania Kwa mgongo Wa ubia na Serikali . Ubia Gani Wa kuja kuchukua Bandari ambayo haijapata hasara zaidi ya kupeana ulaji pale Bandarini na Wanasiasa kupitisha Mali zao bila kulipa ushuru na msamaha ya kijinga wanayopewa wale wanaojifanya KUWA ni Taasisi za Dini hewa.
 
Na wewe punguza udini, siku zote unachangiaga ukikosoa wanaokosea kiswahili tu,lakini tangu ishu ya bandari ianze unakomaa sana kutetea mkataba wa bandari, wewe ndo Zuhura Yunusu mwenyewe nini!???

Itakuwa ndio yeye. Kwenye hili katanguliza udini kama kawaida yake. Kisa wanatajwa waarabu, kachukulia wanatajwa Waislam.
 
Leo ndio nimegundua hawa ni kanisa dola kwa kificho. Kwamba wamechunguza kuhusu Dp na wanayo nyaraka ya maandishi wataikabidhi serikali. Kasema wanayo nyaraka fake ya huu mkataba ambayo mwanasheria Hamza alipokuwa akitoa ufafanuzi akitumia ile nyaraka quinine ni kama mambo yote ya feki na junioni yana fanana.

Kasema kwa akili kubwa hapa, maana yake ni hicho kinachoitwa feki sio feki bali kinakuwa feki kwa vile tu kimevujishwa hakikuwafikia watu kwa utaratibu unaokubalika.

Hujaelewa alichomaanisha feki, amessma labda, maana ya labda ni nini?. na ameongelea kwanini amesema hvyo. kuna mtu ameweka sahini lakini hajulikani ni nani.

Ndomana ameomba kuelezwa.

Serekali iliwahi na wao wachambue mkataba, hao sio waislam ambao hawana Elimu. kwaiyo kwao kuelezea hayo mambo wanajua vizuri cos elimu wanayo
 
Hujaelewa alichomaanisha feki, amessma labda, maana ya labda ni nini?. na ameongelea kwanini amesema hvyo. kuna mtu ameweka sahini lakini hajulikani ni nani.

Ndomana ameomba kuelezwa.

Serekali iliwahi na wao wachambue mkataba, hao sio waislam ambao hawana Elimu. kwaiyo kwao kuelezea hayo mambo wanajua vizuri cos elimu wanayo

Yako mengine ya kusikia within his words. Na moja wapo kasema kwa nini mkataba mpaka uvujishwe??? Hilo la ufake wa mkataba ndio akahusisha na jina la muweka sahihi. Unajua kuna kuread between the lines na kuhear within his words. Yaani alikuwa anajiuliza inawezekana vipi jina lisiwepo iwepo sahihi tu. Na kama ipo sahihi tu kwa nini jina linafichwa? Ndio kasema pengine wakipewa na kuona huo junioni jina litakuwepo. Na alionao ambao ni wakuvujishwa jina haliko kwa sababu pengine ni motive ya mvujishaji. You can draw several inferences kutokana na kauli au haya maneno yake.
 
Shida yao serikalini ni poor communication techniques.

By now serikali ilitakiwa msemaji wa serikali au kama awamuamini kujibu hoja. Basi mwanasheria kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu, au wabandari au kutoka wizara ya ujenzi. Kukaa na audience na kujibu maswali kuhusiana na huo mkataba kama mwenzao Maharage Chande anavyofanya TANESCO.

Wao (serikali) wanaenda kwenye mikutano kama hiyo either wanatoa maelezo yao tu, au wanasikiliza hoja na kuwaacha waongeaji bila ya uelewa sahihi.

Just below par, communication strategy ya kuuelezea huo uwekezaji na hiyo sheria iliyopitishwa.
 
We huna akili ya kumkosoa huyo, hapo zinatumika akili sio chuki na mihemko kama yakwako.
Hakuna cha akili wala nini, kama kakosea kakosea tu.

Labda byinyi hamtaliona kosa lake kwa kuwa anawazuga eti anawafutia dhambi.

Binadam wengine ni wa sjabu sana, eti binadam msenzio uungame akufutie dhambi.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Demokrasia raha sana....

Mh.Rais SSH ni mwanademokrasia haswa.....[emoji2956][emoji2956]

Hatukuwaona wanazuoni WAKIITISHA mikutano dhidi ya MIKATABA ILIYOINGIWA NA SERIKALI YA AWAMU YA 5.....

Hatukuwaona wakiipinga/kuikosoa/kuishauri serikali ilipoingia mkataba na ARAB CONTRACTORS ya Misri....

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingiii[emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hatukuwaona wanazuoni WAKIITISHA mikutano huku wakiwa na hisia kubwa kuipinga serikali ilipoingia mkataba wa ujenzi wa SGR na YERPI MERKEZ ya uturuki.....

Kweli mh.Rais SSH ni mwanademokrasi nguli [emoji7][emoji7]

#SiempreJMT[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingoMnooo[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu serikali haijakanusha contents zake. Ni fake kwa maana ya jinsi ulivyowafikia Lakini contents zake ni sawa na wanazoongelea serikali
Ndiyo ujinga wake huo, ana kitu original anajidai feki, halafu anajisifu.

Punguani wahed.
 


Kumbe watanzania wakiamua iko siku inawezekana tu!

Viongozi jaribuni kuwa mnasoma alama za nyakati, kwa sababu mnaongoza watu ambao ni Binadamu wenye akili na utambuzi, na kwa hali hiyo kadri siku zinavyosonga na uelewa wetu pia unazidi kubadilika.

Mambo yanaenda kwa kasi sana Duniani. Nimeshituka usingizini ikabidi niseme kupitia nyumbani JamiiForums, kisha ndio nirudi kulala.

Usiku Mwema Watanzania woote popote pale mlipo.

#Mbowesiomhuni!
#Kataawahuni2025!

Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] [emoji813]
Amen [emoji120]
 
..Na suala la Katiba mpya na Tume Huru viongozi wa dini washughulikie.

..Pia uundwaji wa Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi viongozi wa dini waweke msukumo.
 
Huyu padri nae anasema anao mkataba feki halafu anaunukuu.

Shule alienda kusomea ujinga.
msikilize vizuri na muelewe kwa akili kidogo ,anamaanisha ni wenyewe sema yy hajaupata kwa njia rasmi na kunakazihaki kidogo kakachombeza hapo ,maana huu mkataba upo hata ktk tovoti ya bunge waliweka.Usitoe hukumu kabla hujatumia uwezo wa kutafakari jambo
 
..Na suala la Katiba mpya na Tume Huru viongozi wa dini washughulikie.

..Pia uundwaji wa Tume ya Ukweli, Haki, na Upatanishi viongozi wa dini waweke msukumo.
Unajua hilo ndio linalokuja sababu serikali lazima itashupaza shingo!
Itapitisha maazimio yake na DP World kijanja janja!

Kisha kwa sababu kwa katiba iliyopo sasa.
Rais aliyepo madarakani hashitakiwi kwa makosa aliyotenda akiwa madarakani pindi akiisha staafu.
Hata kama yamethibitika.
Na hapo ndio sasa safari ya kwenda katiba mpya itakapoanzia.
Kwa sababu tutataka hicho kifungu kibadilishwe,ili hapo au huko mbeleni tuanze kuwashitaki hawa wahuni.

Kilichokuwa kikisubiriwa ni muunganiko wa jamii ya watanzania kupitia makundi yote.
Kuelewana kwamba kuna umuhimu sasa wa kuamka na kusema "HAPANA"
Bila kujali itikadi zetu za kisiasa wala imani zetu za kidini wala tofauti zetu za mitizamo.
Ahsante mkuu JokaKuu
 
Shida yao serikalini ni poor communication techniques.

By now serikali ilitakiwa msemaji wa serikali au kama awamuamini kujibu hoja. Basi mwanasheria kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu, au wabandari au kutoka wizara ya ujenzi. Kukaa na audience na kujibu maswali kuhusiana na huo mkataba kama mwenzao Maharage Chande anavyofanya TANESCO.

Wao (serikali) wanaenda kwenye mikutano kama hiyo either wanatoa maelezo yao tu, au wanasikiliza hoja na kuwaacha waongeaji bila ya uelewa sahihi.

Just below par, communication strategy ya kuuelezea huo uwekezaji na hiyo sheria iliyopitishwa.
Naomba maoni yako binafsi kuhusu sakata hili ..ukiacha Hilo la poor communication lililojitokeza
 
Naomba maoni yako binafsi kuhusu sakata hili ..ukiacha Hilo la poor communication lililojitokeza
Maoni yangu hayana tofauti na mjadala uliofanyika bungeni.

Ule ndio ukweli wenyewe, tunachojadili ni azimio tu la bunge kuweza kuingia mikataba ya utekelezaji ambayo mpaka sasa aipo.

Mengine kwenye hiyo IGA ni mambo ya kawaida kabisa kwenye FDI contracts, implied terms za sheria za nchi husika, dispute resolution processes na kadhalika yaliyomo mule.
 
Back
Top Bottom