1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kwa nini tuwe na Serikali inayoshindwa kuwasimamia wataalam wake na kuteua watu wenye uwezo ?
Serikali ya Falme za Kiarabu miaka 50 iliyopita haikuwa hivyo Bali ilichofanya ni kuwasimamia wataalam wake na watu iliyowaamini Kwa Nguvu ZOTE.
Rwanda miaka 30 iliyopita haikuwa kama ilivyo leo . Alichofanya Kagame ni kuwasimamia vilivyo watu wake na Kila pato wanalopata liwe la kutoka Kongo au Msaada au vyovyote .
Tanzania Kwa miaka Mitano ya MAGUFULI tulifikia uchumi Wa kati kutokana na usimamizi mkali .
Leo Awamu ya SITA nchi inauzwa Kwa sababu ya kuwaonea aibu wezi na kukumbatia matumizi makubwa na ya hovyo ya Serikali.
Unauzaje Bandari inayoingiza pesa.
Yaani tulishindwa kuua bandari ya Dubai Kwa kujenga Bandari huru Zanzibar na kuingia nao mkataba Wa pamoja?
Yani kuliko kuiinua Zanzibar au Bagamoyo Bora tuneemeshe familia ya MTU mmoja kule Dubai na nchi yake ?
Serikali imeshindwa kuteua wataalam Hata wenye uraia Wa nje lakini watanzania wakaja kuiinua ufanisi Wa Bandari zetu.
Kwa nini tunaingiza siasa kwenye mashirika ya umma Badala ya utaalamu?
CCM hii ikiungana Italiua taifa hili na kuwaacha watoto WETU vurugu Kama zinazotokea kule Sudani na Kongo.
Kongo inawawekezaji wengi sana Lakini hawana tija Kwa usalama Wa Kongo ndicho kinachokwenda kutokea Tanzania . Uwekezaji una picha picha za uarabu na udini Dini na ushabiki wake ni Wa rushwa na udini Dini . Waafrika tumelogwa .
Tumekua na watawala wenye hulka hizo hizo za ushabiki shabiki na unafiki.
Nilimsikiliza Kitila Mkumbo alivyokua anatoa mchango wake Bungeni. Yaani utumbo mtupu haelezi suala la kiuchumi zaidi ya blabla na kujichanganya mara hakuna mikataba mara mikataba huu mara uko Sawa mara turekebishe , yaani ni full kutetea tumbo lake .
Hawa hawafai kabisa kuandaa Kesho ya Taifa letu zaidi ya nafasi zao.
Mwarabu hataleta Hata shilingi moja kuendekeza bandari Zaidi ya Kutumia rasilimali zilizopo pale Bandarini kupata mtaji na kuiendeleza na kupata faida. Yuko wapi aliyenunua Kiwanda Cha General Tyres. Karne hili yenye magari mpaka vijijini lakini ndio anaua Kiwanda na kuagiza Tairi china wakati Kiwanda kulifanya KAZI wakati mahari yalipokuwa yakuhesabu.
Hakuna muujiza Wa Mwekezaji anayetaka kuimarisha Nchi na bandari ya Dubai kuiendeleza bandari ya Dar es salaam na kuihujumu bandari ya Nchi yake anayoiongiza . Hofu waliyokuwa nayo Nchi za magharibi na Dubai ni kujengwa Kwa Bandari ya Bagamoyo. Sasa iweje waje kuiendeleza ? Na ikumbukwe KUWA Waarabu Karne nyingi wanataka kuona Ukanda Wa Afrika Mashariki ukiwa chini ya udhibiti wao kibiashara
Zanzibar Sio Wajinga kukaa kimya na kumkwepa huyo mkoloni anayetaka kurejesha usultani Tanzania Kwa mgongo Wa ubia na Serikali . Ubia Gani Wa kuja kuchukua Bandari ambayo haijapata hasara zaidi ya kupeana ulaji pale Bandarini na Wanasiasa kupitisha Mali zao bila kulipa ushuru na msamaha ya kijinga wanayopewa wale wanaojifanya KUWA ni Taasisi za Dini hewa.