Sina mamlaka ya kuwajibia marehemu.
Porojo sio sehemu ya maisha yangu, kukamatwa akili kimihemko sio asili yangu
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kama serikali pamoja na intelijensia unayoisema imekosa ushahidi na imewaachia wewe umeutoa wapi.Tuombe Allah kuwa walioachiwa sio magaidi. Lakini nashangaa sana wanaolalamika kuwa wamekukaa rumande muda mrefu, as iff ni wao tu ndio wameka rumande muda mrefu na hakuna wengine, na wanalalamika asi if serikali imewaweka kizuizini bila sababu yoyote. Kama serikali ingeweka kila kitu hadharani kutokana na habari za kiitenijensia ilizonazo nadhani maoni ya watu yangekuwa tofauti kabisa.
Siku zako zinahesabika wewe ,nina uhakika unapoteza maisha kabla ya mwezi huu kumaliza maradhi ni yaleyale ya tatizo la kupumuwa.,wanaokujua wataleta taarifa hapa.Hawa ndo wanaleta ugaidi....wakitoka na amani inatoweka...wanaroho za kishetani.....hawakutakiwa kuwa hai Hawa mashekh wa uamsho....ni mawakala wa shetani....nashauri wanyongwe
Mkubwa siwezi kusema najua, lakini naamini kuwa serikali haikukurupuka kuchukua uamuzi huu, sio uamuzi rahisi. Serikali haiwezi kumuweka mtu kizuizini kwa miaka tisa kwa sababu hewa, hasa akiwa shehe. Naamini kuwa itakuwa na sababu za kimsingi kabisa. Lakini tungekuwa tunazungumza lugha nyingine kama yangetokea mambo ambayo yangeharibu usalama wetu, tungekuwa wakwanza kuinyooshea vidole serikali.Ebu tusaidie kutujilisha ili tupate kufaham
Mbona kama wameshafungwa tu mkuu. Miaka 9 si ni kifungo tosha kabisa mkuuUshahidi wa kuwafunga hawa watu ulikuwa haupo, afadhali wameachiwa
Roho ya kishetani na chuki za kipumbavu hazitakufikisha popote,au umesahau ni lini walikamatwa na kwa kosa gani na wapi? Acho domo zege na chuki za kishetani.Lakini wakashikiliwa kipindi chote cha mwendazake.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Usitifutie Ban asubuhi asubuhiAhaaa, kamanda acha porojo.
wewe ndio unajua sasa miaka 9 peleka ushahidi MahakamaniHivi mnajua walichokifanya hawa wanaojiita mashehe hadi kuwalililia?
Miaka yote hiyo kwanini hukupeleka huo ushahidi wako Mahakamani? haya matapishi yako uliyoyatapika hapa JF yanayoendeshwa kwa mihemko ya chuki binafisi hayana madhara yeyote.Hawa ndo wanaleta ugaidi....wakitoka na amani inatoweka...wanaroho za kishetani.....hawakutakiwa kuwa hai Hawa mashekh wa uamsho....ni mawakala wa shetani....nashauri wanyongwe
Msema kweri ni mpenzi wa Mungu! HahahahhaLakini wakashikiliwa kipindi chote cha mwendazake.
Au nasema uongo ndugu yangu?
Mahakama huenda kwa evidence na sio kuamini.Ila Hawa pamoja na mengine yooote huwa naamini kweli watakuwa na viashiria vya vitendo vilivyowapeleka huko. Mana aliyewaweka huko ni JK,je JK ana interest ipi na watu kama hao hadi atake wakae ndani bila sababu?
Wagogo wanawakimbiza pale bungeni huoni!! Bora kuwa mgogo kuliko gaidiRudi shule we mgogo,huna ujualo
Kwanini hukupeleka huo ushahidi wako mahakamani? badala yake naona unakata viuno tu hapa JF kwa kujifanya kua unajua.... ni jambo jema ila wasiende tena kupiga mapadre, watalii, na mashekhe wenye misimamo ya wastani risasi huko Zanzibar. Hii nchi ni yetu sote kila mtu ana haki ya kuishi.
Habari njema sababu watanzania wenzetu wametoka jela, baada ya kuwekwa kwa dhuluma ya watawalaKwa sababu gani ?
Roho ya kishetani na chuki za kipumbavu hazitakufikisha popote,au umesahau ni lini walikamatwa na kwa kosa gani na wapi? Acho domo zege na chuki za kishetani.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app