Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Chasambi anacheza nafasi Moja na Nzengeli. Kwahiyo anajifunza kutoka kwake. Ulitaka amtaje Mohammed Hussein kwani yeye beki?Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Ivi kumbe kuwa Role model mpaka ucheze na huyo player Timu Moja Duh.....Hujui kua Garnacho kacheza na Ronaldo pia Man U , sasa huyo Chasambi kacheza na max wapi?
Na kwanini asingetaja tuu max direct bila kuhusisha wachezaji wa simba
Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?Chasambi anacheza nafasi Moja na Nzengeli. Kwahiyo anajifunza kutoka kwake. Ulitaka amtaje Mohammed Hussein kwani yeye beki?
Sawa. Tuache na umbumbumbu wetu. Lakini ujue Msemaji wenu Manara alisema wenye akili huko kwenu ni wawili tu. Wewe haumo! Ahahahahaha!!!Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
Nitachangia mifuko ya cement, sanamu la Rage lijengwe pale MsimbaziSawa. Tuache na umbumbumbu wetu. Lakini ujue Msemaji wenu Manara alisema wenye akili huko kwenu ni wawili tu. Wewe haumo! Ahahahahaha!!!
Kwa aina hii ya akili ndio maana nchi haipigi hatua. Hapa ni nothing but emotions hamna logic kabisaLadrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Mbumbumbu FC katika ubora wa NGADALadrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Tatizo sio role model, tatizo ni kuhusisha wenzake kidharauIvi kumbe kuwa Role model mpaka ucheze na huyo player Timu Moja Duh.....
Tatizo sio role model, tatizo ni kuhusisha wenzake kidharauIvi kumbe kuwa Role model mpaka ucheze na huyo player Timu Moja Duh.....
Sawa mkuu....Tatizo sio role model, tatizo ni kuhusisha wenzake kidharau
Sahivi dogo nikusugua bench tu aende huko utopoloni kwa basha wake MaxKwa aina hii ya akili ndio maana nchi haipigi hatua. Hapa ni nothing but emotions hamna logic kabisa
Kwa taarifa yako simba haifanyi maamuzi kwa hisia kisa mchezaji wa simba anasema anampenda mchezaji wa timu fulani
Punguza negative emotions, huna mandate ya kumchaguliw mtu ampende mchezaji yupi
Huna logic, maybe mechi za kimataifa but kitaifa ataendelea kucheza sanaSahivi dogo nikusugua bench tu aende huko utopoloni kwa basha wake Max
Toka ameongea huo utopolo WA Basha wake hajawahi kuchezaHuna logic, maybe mechi za kimataifa but kitaifa ataendelea kucheza sana
Kocha hawez fanya maamuzi based on hisia za washabiki, modern football haiko hivyo
Hao unaowaona wanaakili wanaruhusu wanaume kwa wanaume kuingiliana na kulazimisha tuone ni kitendo halaliWatu weusi ni jamii dhaifu sana kiakili, yawezekana baadhi ya wazungu wabaguzi hua wanahoja kutuita nyani.
Lakin wako mbali kisoka, kimaendeleo na kiuchumiHao unaowaona wanaakili wanaruhusu wanaume kwa wanaume kuingiliana na kulazimisha tuone ni kitendo halali
Ni kweli, ila tatizo ni kutolea mfano kuwatweza wazungu huku tukijiona hatuna akili wakati kuna matukio yanafanyika kwote.Lakin wako mbali kisoka, kimaendeleo na kiuchumi
Soka lao day and night ubora unapanda juu
Kaka hauko informedNi kweli, ila tatizo ni kutolea mfano kuwatweza wazungu huku tukijiona hatuna akili wakati kuna matukio yanafanyika kwote.
Mfano: Spain huwezi kuta mchezaji wa Madrid anamsifia mchezaji wa barca huku akiponda wenzake halafu mashabiki wamuache salama.( tukifanya sisi tunaonekana washamba)
Liverpool na Man united hawajawahi kuuziana wachezaji since 1967 ( zikifanya simba na Yanga itaonekana ni ushamba)
CR7 alishazomewa mara kibao na washabiki wa timu yake ( tukifanya huku tutaonekana washamba)
Inshort Ladak kawakisea sana wenzake hilo halipingiki, na hata hii kukaa bench tangu atoe hiyo kauli utakuta kunashinikizo
Kamanda, mbona una mawazo wa kishoga hivi? Usalama upo kweli?Sahivi dogo nikusugua bench tu aende huko utopoloni kwa basha wake Max