Viongozi wangu wa Simba, ondoeni kirusi Chasambi ndani ya timu yetu, msikilizeni akimsifia Max Nzengeli na kudai Simba hakuna role model wake

Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.

Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.

Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Chasambi anacheza nafasi Moja na Nzengeli. Kwahiyo anajifunza kutoka kwake. Ulitaka amtaje Mohammed Hussein kwani yeye beki?
 
Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.

Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.

Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Kwa aina hii ya akili ndio maana nchi haipigi hatua. Hapa ni nothing but emotions hamna logic kabisa
Kwa taarifa yako simba haifanyi maamuzi kwa hisia kisa mchezaji wa simba anasema anampenda mchezaji wa timu fulani

Punguza negative emotions, huna mandate ya kumchaguliw mtu ampende mchezaji yupi
 
Mbumbumbu FC katika ubora wa NGADA
 
Kimsingi alisema kilichomoyoni mwake, lakini tukija kwenye ualisia unaposema hayo maneno na watu unao fanya nao kazi kila siku unakuwa unafikiria nini! Yeye ni regular starter kwamba anaipambania sana Simba lakini wenzake ndo wanamuangusha?Tuache kusifia ujinga, Chasambi amekosea, tena alipoharibu zaidi aliposema kwenye timu yake ya Simba, hao wachezaji aliowaona hana cha kujifunza kutoka kwao unafikiri watampa ushirikiano? Wanajisikiaje, kumpa ushirikiano ni kama kujipendekeza kwa mtu ambaye hakuoni kama anaweza kujifunza kwako. Tuwe tunachagua maneno ya kuzungumza na kufanya assessment madhara ya hayo maneno yatakapokwenda public.
 
Kwa aina hii ya akili ndio maana nchi haipigi hatua. Hapa ni nothing but emotions hamna logic kabisa
Kwa taarifa yako simba haifanyi maamuzi kwa hisia kisa mchezaji wa simba anasema anampenda mchezaji wa timu fulani

Punguza negative emotions, huna mandate ya kumchaguliw mtu ampende mchezaji yupi
Sahivi dogo nikusugua bench tu aende huko utopoloni kwa basha wake Max
 
Huna logic, maybe mechi za kimataifa but kitaifa ataendelea kucheza sana

Kocha hawez fanya maamuzi based on hisia za washabiki, modern football haiko hivyo
 
Watu weusi ni jamii dhaifu sana kiakili, yawezekana baadhi ya wazungu wabaguzi hua wanahoja kutuita nyani.
 
Huna logic, maybe mechi za kimataifa but kitaifa ataendelea kucheza sana

Kocha hawez fanya maamuzi based on hisia za washabiki, modern football haiko hivyo
Toka ameongea huo utopolo WA Basha wake hajawahi kucheza
 
Lakin wako mbali kisoka, kimaendeleo na kiuchumi
Soka lao day and night ubora unapanda juu
Ni kweli, ila tatizo ni kutolea mfano kuwatweza wazungu huku tukijiona hatuna akili wakati kuna matukio yanafanyika kwote.

Mfano: Spain huwezi kuta mchezaji wa Madrid anamsifia mchezaji wa barca huku akiponda wenzake halafu mashabiki wamuache salama.( tukifanya sisi tunaonekana washamba)

Liverpool na Man united hawajawahi kuuziana wachezaji since 1967 ( zikifanya simba na Yanga itaonekana ni ushamba)

CR7 alishazomewa mara kibao na washabiki wa timu yake ( tukifanya huku tutaonekana washamba)

Inshort Ladak kawakisea sana wenzake hilo halipingiki, na hata hii kukaa bench tangu atoe hiyo kauli utakuta kunashinikizo
 
Kaka hauko informed
Kevin de bruyne alishawahi msifia beki wa liverpool van djik ( tena admirable)
Washabiki wa man city walikuja juu ? Hapana

Marcus rashford mara kadhaa amekuwa akimsifia kevin de bruyne, alifukuzwa? Mashabiki wali mind?

Van djik at one time aliwa kumu admire erling haland wa manc city? Alifukuzwa ? Mashabik wali mind?

Harry kane akiwa totenham, ali mua dminre c.ronaldo wakati akiwa man u, wali mind? Alifukuzwa?

Ulaya yanatokea sana, na mashabiki hawapo emotional kiasi cha kumchagulia mchezaji nini cha kusema na nani wa kumpenda

Kwenye professionalism kuna wale watu wamekuzidi ,hata kama wako upande wa tofauti au pinzani but una admire na wanakuwa insparation

Haimaanish unadharau ulipo, bali unataka kufika level zile au zaidi.

Punguzeni kuwa emotional , ni ushamba
 
Back
Top Bottom