Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

Bora hata wewe umeharisha umekumbuka kujifuta na majani..!!

Haya maisha kama unategemea mwanamke akusaidie majukumu yako ni bora usioe au oa binamu zako huenda wao mkaelewana maana mnatoka koo moja..!!
🀣 Daah
 
🀣
 
Labda Putin wa kuchaji na sola! πŸ˜€ (joke)
Kinacho nishangaza ni pale mtu anaamua kubishia maisha ya wenyewe as if anaishi rohoni mwao!
 
Unakuta ni Mchafu au hapiki kwa wakati na anarudia makosa yaleyale...ukimwambia atajiteteea...au akishindwa ni ataliaπŸ˜‚
 
Wakati unakula maisha viwanja na viwanja nayeye anatumia pesa zake na mchepuko wake viwanja kwa viwanja na humwambii kitu ni pesa zake ambazo humuulizi
 
80% ya wanawake walioolewa na wanaofanya kazi za kuajiriwa au kujiajiri wana ma house maids, hawafanyi hizo shughuli za nyumbani
 
80% ya wanawake walioolewa na wanaofanya kazi za kuajiriwa au kujiajiri wana ma house maids, hawafanyi hizo shughuli za nyumbani
Sio TU wafanya kazi hapa mtaani wapo hawana kazi ila Wana maids, kazi zao ni kubeba mkoba alafu maid anabeba mtoto wanaenda hospital.

Mume kumpa mle 100k ya mfanyakazi mke anamlipa 50k nyingine anamwambia nakutunzia
 
Nakubaliana naww
 
You nailed it sir
 
Wakati unakula maisha viwanja na viwanja nayeye anatumia pesa zake na mchepuko wake viwanja kwa viwanja na humwambii kitu ni pesa zake ambazo humuulizi
Sasa tatizo lipo wapi hapo?....
Hata hivyo wanawake ni wachungu sana...hawali maisha wanakimbiliaga kujenga na mimi sioni tatizo mtu kujenga mjengo wake....mwisho watoto watafaidika siku tukiondoka dunia hii....
 
Muite chap nimzabue akafanye interview mortuary 😹😹
πŸ˜€ mbona unajiamini hivo, unammudu eh!?

ila ID ya mshkaji bana (sijui aliwaza nn kujiita hivo Natafuta Ajira ) 😎 na avatar yake ya Putin.

Sema ni vile unamchukulia ni wa kupinga, ila mkuu yupo na points zake, as everyone is entitled to their own opinions
 
Sasa tatizo lipo wapi hapo?....
Hata hivyo wanawake ni wachungu sana...hawali maisha wanakimbiliaga kujenga na mimi sioni tatizo mtu kujenga mjengo wake....mwisho watoto watafaidika siku tukiondoka dunia hii....
Ni sawa
 
Hii akaunti ilikua ya mtu mwingine ambayo aliifungua specifically kutafuta michongo hapa jf. Kuna kipindi nilikua natumia simu yake nikawa naingia jf kwa akaunti yake.

Nikawa naitumia akaunti yake kucomment(alikua anajua). Baadae akanimilikisha akaunti yake, yeye akafungua nyingine. Nilibadilisha password tu na kuweka avatar ya putin, user name nikaacha hiyo hiyo.

Nafikriaga kubadilisha user name ila naona ishazoeleka sana watu wanaonitag kwenye topics mbalimbali watakutana na ugumu kunipata
 
Sawa sawa... Mmiliki halali wa Volkswagen Touareg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…