Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Um
Umenena vema sana mkuu
Mungu anatamani Kila MTU afikie Toba aokolewe apate wokovu
 
Kuna watu ni ngumu sana kukuelewa
Malaria 2 &co
 
Kwahiyo na wewe gaidi msaidizi unawasaidiaje magaidi wenzako
 
Nje ya kristo kwingine ni jehanamu bila kupingwa,maana hata dini nje ya ukristo zimejengwa juu ya msingi wa chuki,uongo na maauaji.Bila Yesu umepotea kabisa na nakuonea huruma kwa kuwa u roho iendayo jehanamu usipotubu na kumpokea Yesu.
Ahsante mkuu kwa kutokuionea Haya Injili
maana ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa Myahudi kwanza na kwa muyunani pia
 
Najiuliza kwa Hamas tu Israel imesaidiwa silaha na intelejensia na mataifa kama marekani, UK, France ujerumani nk nk imeshaomba misaada wa kifedha na silaha kwa USA si chini ya mara tano.

Najiuliza ikipigana na Irani itakuwaje? Nafikiri Ukraine itakuwa na afadhari
 
hii isijekuwa ndio sababu iran anachokozwa ili aingie vitani, marekani na washirika watie mguu, wavuruge nchi, waigawe, watawala wapya waingie nao makubaliano, wanyonye mafuta ya iran? nawaza tu kwa mbali.
Unawaza marekani na washirika wake tu. Na kujishaurisha washirika wa Iran mliomkimbia huko Ukraine. Pumbafu
 
Sasa mbona wamechelewa, jamaa wanaingia kingi kirahisi mno, hio ndo ilikua lengo la vita nzima
 
Kuna m nstari mwembamba sana unaotenganisha uislamu na ujinga.
Kuliko nyie mlioaminishwa Yesu ni mwana wa mungu? Kuliko nyie mlioaminishwa Yesu alikufa msalabani ili kuchukua dhambi zetu?
 
Israel hata siku moja hahitaji proxies yeye hutwangana yeye mwenyewe .Aneshawahi pigana na nchi tano kwa mpigo.Majeshi yannchi tano anazopakana nazo na akawashinda.Iran wala hambabaishi mbona alishaingia Iran na kulipua kinu cha nyukilia ndaninya Irani mu 9ran alichokuwa akijenga na Iran hakufanya chochote
 
Ngoma bado kabisa. Halafu US anajifanya kulia lia kumbe lao moja. Kwa ufupi hii vita kuisha ni ngumu kwa sababu upande mmoja ni dini (waue wote hao mashetani wafe wote wayahudi) mwingine ni secular (hii ardhi ni haki yetu), ila kama ilivyo akina Joshua Israel lazima washinde hata iwe nini.
 
Kwa taarifa yako Israel hapigani na Hamas anapigana na Iran.Wapiganaji wa Hamas wengi sio wapalestina ni wairani na wa kutoka nchi mbalimbali za kiarabu za makundi.yabayoungwa mkono na Iran.Wapalestina wenyewe.Ndio masna hayo mataifa yanaipa silaha Israel yakijua Israel yuko.vitani na Iran kupitia Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…