Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Mpaka sasa iran haja rusha hata punje ya mchanga kuelekea israhell hii ina maanisha wazee wame ufyata
 
Hii ni mpya sasa kutoka kwako muisrelei wa kiluvya

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Yeye ametulia zake na mademu ndani anataka vijana wa wengine ndio wakafie huko Samaria.
 
Ushari wako waache wapalestina wauwawe hadi mwisho
 
kwanza ncheke
 
Thea real ISRAEL ni AFRICA Mkuu. Hao siyo wayahudi wa Kweli wa kwenye ile BIBLIA.
 
Ushaidi tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…