Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani
Joined
Jun 25, 2024
Posts
81
Reaction score
80
Kazi kazi

Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML

Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML.

Nina kiwanja maeneo ya Majichumvi Tabata mita 20x20 kizuri Sana Tsh30ML Nikiwanja Cha pili kutoka Barabara ya zege.

0686 196565/whtasaap 0675 065906

1717475924213.jpg
 
ENEO HEKA MOJA LINAUZWA KIBAHA MAILI MOJA SHELI-MUHEZA
LIPO TAMBARARE SEHEMU NZURI
BEI MLN 25 Tu
20240610_135209.jpg
 
VIWANJA VINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA
a/ Mita 19x60 [SQM 1140]
Umbali ni km 1 tu kutoka morogoro road,bei mln 13

b/ Mita 30x50 [SQM 1500]
kipo umbali wa km 1
Kutoka service road ya morogoro road,bei yake mln 45,Kinapakana na barabara ya mtaa

c/Mita 22x68 [SQM 1496]
Kipo umbali km 1 kutoka service road ya morogoro road, bei yake mln 45.Kinapakana na barabara ya mtaa
0675 065906
20240624_113138.jpg
20240624_113200.jpg
20240624_111430.jpg
20240624_111427.jpg
20240624_110539.jpg
20240624_110527.jpg
20240624_110519.jpg
 
Kiwanja Kinauzwa Salasala Kilima hewa
Kina Sqm 650 na point[27x38]
Bei yake mln 26
0675 065906
 

Attachments

  • VID-20240626-WA0003.mp4
    20.2 MB
A/Kiwanja Kinauzwa Millioni 4 Kiluvya Kina Msingi Wa Chumba Kimoja, Ukubwa Wa Kiwanja Mita 17 Kwa 18 ,
Umbali Km 2 kutoka Morogoro road

B/Kiwanja kinauzwa milioni 6
Kina ukubwa wa mita 20x20 ndani ya kiwanja kuna banda la vyumba 2
0675 065906
 

Attachments

  • 1719425362236.jpg
    1719425362236.jpg
    321.9 KB · Views: 19
  • 1719390241648.jpg
    1719390241648.jpg
    315.4 KB · Views: 20
Kuna viwanja 5 vinauzwa maeneo ya kibaha loliondo Pangani near bandari kavu
Vina sqm 500[,20×25]
Loliondo stand mpaka site boda 1000
Bei mln 8 maongezi yapo
Ukitaka kununua vyote kwa pamoja
Bei yake utauziwa vyote vi 5 kwa mln 35
Mtaa mzuri sana
0675 065906
20240624_113138.jpg
 
KIWANJA KINAUZWA TSH milioni 14 Kipo Kibamba Torino

-Kipo mtaa mzuri sana
-Kiwanja kimekamata barabara ya mtaa unaweza kujenga nyumba na fremu

*Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 500 Document Sales agreement (Mkataba mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua

◇Umbali kutoka barabara ya lami ni mita 400 tu
◇Usafiri bajaji elfu 1000 ukishuka unatembea kwa mguu tu
*Bei Tsh milioni 14
0675 065906

1719586524486.jpg
1719586534896.jpg
1719586215249.jpg
1719586217996.jpg
1719586289896.jpg
 
Kuna viwanja 5 vinauzwa kibaha loliondo Pangani kabla ya kufika bandari kavu
Vina sqm 500[,20×25] kila kimoja
Vipo mtaa mzuri sana uliojengwa vizuri
umbali kutika Loliondo stand mpaka site boda 1000
Bei mln 8 maongezi yapo
Mtaa mzuri sana
0675 065906
 
ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY linakodishwa au kuuzwa kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua.

Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Matosa/ Goba na lina Madarasa, Swimming Pool, Kisima cha Kuuza Maji, Garden kubwa kwa kufanyia Events mbalimbali na Michezo mbalimbali ya Watoto.

Kwa sasa nimeligawa eneo hili ktk Options 4:
1. Endapo mpangaji atalihitaji kulikodisha eneo lote na kila kilichomo, kama Madarasa, Mradi wa Maji, Swimming Pool, Garden n.k basi Kodi ni 1.8mil per month.

2. Endapo mpangaji atahitaji kukodi Madarasa tu na Jiko bila vitu vingine vilivyomo kama Swimming pools n.k, hapo atalipia Kodi ya 1mil tu kwa mwezi.

3. Endapo Mpangaji atahitaji kukodi eneo la Swimming Pool, Jiko na Michezo ya Watoto + Garden tu, then Kodi itakuwa 1mil kwa mwezi.

4. Hii ni Option ENDAPO mpangaji atahitaji kulinunua Eneo lote, basi atanihamisha kwa 550mil tu. Kwa mawasiliano zaidi piga 0675 065906.

1720001304291.jpg
1720001301211.jpg
1720001298365.jpg
 

Attachments

  • 1720012722004.jpg
    1720012722004.jpg
    294.7 KB · Views: 17
  • 1720012717565.jpg
    1720012717565.jpg
    271.7 KB · Views: 18
  • 1720012714018.jpg
    1720012714018.jpg
    275.9 KB · Views: 14
Mkuu soma maelezo vizuri sio shamba hiyo ni shule ina madarasa na majengo mengine mengi na eneo la michezo ya watoto na mazagazaga kibao,soma maelezo vizuri usikurupuke
Nimeona hadi picha. Ni shamba lenye vibanda vingi. Sijaona hata jengo la maana hapo lenye thamani ya milioni ishirini.
Huku kwetu eka moja inauzwa milioni moja. So ekari mbili ni milioni mbili tu.
 
Nimeona hadi picha. Ni shamba lenye vibanda vingi. Sijaona hata jengo la maana hapo lenye thamani ya milioni ishirini.
Huku kwetu eka moja inauzwa milioni moja. So ekari mbili ni milioni mbili tu.
Huko kwenu wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom