mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Hivi ni hekari ngapi hizo na sie wa mikoani tuelewe?Soma vizuri maelezo ya ukubwa wa kiwanja kabla hujatoa maoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni hekari ngapi hizo na sie wa mikoani tuelewe?Soma vizuri maelezo ya ukubwa wa kiwanja kabla hujatoa maoni
Yes73m?
Bidhaa iko sokoni, kwenye duka, kuiona nilipie! hapana, acheni ujinga huo! Wewe unauza mali yako unahitaji wateja, nani mwenye uhitaji? Anayeuza! anayenunu ana option ya kwenda duka lingine akapata anachokihitaji, sasa alipie kuona vitu dukani? Never on eath!Kupelekwa kuona 30k.
Luguruni 350m. Kibaha ni jirani na hapo kule heka moja ni 15m kwenye hiyo pesa napata zaidi ya hekari 20........Udalali ni kazi.Eneo linauzwa Mbezi Luguruni jirani na St. Joseph University. Eneo lina ukubwa wa hekari 1.7. Linafaa kwa makazi,apartments,hostel,hotel nk. Lipo umbali wa m150 toka barabarani. Bei yake ni 350million Tsh. Hati za umiliki zipo. Kupelekwa kuona 30k. Call 0675 065906
Kupelekwa kuona 30K?Eneo linauzwa Mbezi Luguruni jirani na St. Joseph University. Eneo lina ukubwa wa hekari 1.7. Linafaa kwa makazi,apartments,hostel,hotel nk. Lipo umbali wa m150 toka barabarani. Bei yake ni 350million Tsh. Hati za umiliki zipo. Kupelekwa kuona 30k. Call 0675 065906
Asante kwa maoniLuguruni 350m. Kibaha ni jirani na hapo kule heka moja ni 15m kwenye hiyo pesa napata zaidi ya hekari 20........Udalali ni kazi.
😂😂hiyo huwaga bit mtu unapelekwa hadi kwa elfu 3Kupelekwa kuona 30K?
Ukimpata wa hivyo lete mrejesho