HEKARI 5 ZINAUZWA MBEZI LUGURUNI BEI NI MILIONI 750
ENEO LINA SQM 20150
KILOMETRES 2 KUTOKA LAMI YA MOROGORO ROAD
✅️Ndani ya hekari 5 hizo kuna nyumba ambayo ni apartment ya familia 4 ambazo zinajitegemea kila kitu
✅️Apartment ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala viwili master seble kubwaaa na dining pia jiko
✅️Apartment ya pili pia vyumba vitatu vya kulala viwili master public toilet moja na jiko kubwaa na seble pia dining
✅️Apartment ya 3 ina vyumba viwili vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa na sebule
✅️Apartment ya nne ina chumba kimoja master na seble na jiko
✅️ENEO LINA HATI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
✅️0675 065906
✅️NJOO UFANYE UWEKEZAJI HAPA
View attachment 3057742View attachment 3057743View attachment 3057744View attachment 3057745View attachment 3057746