Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani
KIWANJA KINAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI MILION 14 UKUBWA WA KIWANJA SQM 26 KWA 31
■■HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KAMA UMEME NA MAJI
■■HATI YA MAUZIANO NI HATI YA SERIKALI YA MTAA
■■NJOO KAGUA ISHI KATIKA MAKAZI BORA
■■KWENDA KUONA PIGA SIMU
0675 065906
Malamba mawili pa hovyo sana mvua ikinyesha unaweza ukashindwa kwenda kazini hata kwa mguu udongo wa ovyo sana kule..
 
Kiwanja kinauzwa mbezi kwembe milion 80 ukubwa wa kiwanja sqm 1600 kilometres 3 kutoka lami
■■kina hati ya Wizara full title deed
■■huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji
■■njoo kagua viwanja vizuri sana
0675 065906
 

Attachments

  • 1724389729471.jpg
    1724389729471.jpg
    300.6 KB · Views: 4
  • 1724389726057.jpg
    1724389726057.jpg
    319 KB · Views: 4
  • 1724389723188.jpg
    1724389723188.jpg
    345.2 KB · Views: 3
  • 1724389708417.jpg
    1724389708417.jpg
    415.9 KB · Views: 4
  • 1724389717706.jpg
    1724389717706.jpg
    331.5 KB · Views: 3
Amedanganywa vipi hapo?Sijui nyie wasomi mnaendaga shule kusoma nini?
Kama hujui.... maana ya neno Hati ni Nyaraka inayokutambulisha kwamba wewe ndie mmiliki halali wa kitu.
Hapo ndio umeeleza maana ya neno Hati sawa sawa mkuu haujakosea kabisa maana Hati anatoa mwenyekiti wa Serikali za mtaa..
 
Amedanganywa vipi hapo?Sijui nyie wasomi mnaendaga shule kusoma nini?
Kama hujui.... maana ya neno Hati ni Nyaraka inayokutambulisha kwamba wewe ndie mmiliki halali wa kitu.
Serikali ya mtaa itakutambulisha kuwa wewe ndiye mmiliki halali kwa kutumia sheria ipi?
Maana Serikali ya mtaa haimiliki ardhi.
 
KIWANJA KINAUZWA GOBA MPAKANI MILION 150 ukubwa wa kiwanja sqm 4771 kina hati.
■■ukubwa wa kiwanja sqm 4771
■■huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji
■■kilometres 4 kutoka goba njia nne
HII NI EKARI 1 ILIYOPUNGUA MITA CHACHE MNO
0675 065906
 

Attachments

  • 1724829551706.jpg
    1724829551706.jpg
    236.2 KB · Views: 1
  • 1724829549413.jpg
    1724829549413.jpg
    236.2 KB · Views: 2
  • 1724829547171.jpg
    1724829547171.jpg
    220.1 KB · Views: 2
  • 1724829544354.jpg
    1724829544354.jpg
    199.6 KB · Views: 2
KIWANJA KINAUZWA GOBA MPAKANI MILION 150 ukubwa wa kiwanja sqm 4771 kina hati.
■■ukubwa wa kiwanja sqm 4771
■■huduma zote za kijamii zipo kama umeme na maji
■■kilometres 4 kutoka goba njia nne
HII NI EKARI 1 ILIYOPUNGUA MITA CHACHE MNO
0675 065906
Kumbe niko nyuma sana! Goba kiwanja 150 M!
Goba ni kuzuri..anyway!
 
Soma vizuri maelezo ya ukubwa wa kiwanja kabla hujatoa maoni
4046.86 One acre is equivalent 4,047 square metres. Is that correct? Kuna kitu sijaelewa hapo?
Actually imezidi acre/eka moja kwa sq m kma 700, ni kikubwa!
My point is bei hiyo ni kubwa , 150, 000,000, HII SIYO HELA NDOGO, lakini kuna watu wana hela zao, watanunua bila shaka yoyote!! Kuna watu hiyo hela ni ya kunywa bia tu!

NAONA UMEJIBU KWA HASIRA! GET COOL!
 
Back
Top Bottom