Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani
Nimeona hadi picha. Ni shamba lenye vibanda vingi. Sijaona hata jengo la maana hapo lenye thamani ya milioni ishirini.
Huku kwetu eka moja inauzwa milioni moja. So ekari mbili ni milioni mbili tu.

Nimeona hadi picha. Ni shamba lenye vibanda vingi. Sijaona hata jengo la maana hapo lenye thamani ya milioni ishirini.
Huku kwetu eka moja inauzwa milioni moja. So ekari mbili ni milioni mbili tu.
mkuu wewe endelea kufukuza ngedere huko shamba haya mambo ya kisasa huyawezi waache wenye wanaoyajua watajilocolate wenyewe
 
Nimeona hadi picha. Ni shamba lenye vibanda vingi. Sijaona hata jengo la maana hapo lenye thamani ya milioni ishirini.
Huku kwetu eka moja inauzwa milioni moja. So ekari mbili ni milioni mbili tu.
Kwenye uhalisia WA value for money m 500 pa refu sana. M 500 mbona kuna biashara nyingi Tu mtu anafanya na hela yake unarudi fasta na bila stress.hapo ununue 500m bado unaitaji tena hela ili upate hela hapo.tuseme ni mradi WA bilioni sasa hapo.ila atapata mteja kuna watu wanapenda Tu ardhi yaani
 
Hii biashara mlango wa mazungumzo upo so far Umesema neno lamaana big up sana
 
𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗔𝗨𝗭𝗪𝗔 𝗕𝗔𝗚𝗔𝗠𝗢𝗬𝗢

𝗔/𝗦𝗵𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗵𝗲𝗸𝗮 5 𝘇𝗶𝗽𝗼 𝗸𝗶𝗱𝗼𝗺𝗼𝗿𝗲 𝘀𝗵𝘂𝗹𝗲, 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 𝗹𝗶𝗻𝗮 𝗺𝗶𝗲𝗺𝗯𝗲,𝗻𝗮𝗻𝗮𝘀𝗶,𝗻𝗮 𝗠𝗶𝗻𝗮𝘇𝗶
𝗠𝗮𝗲𝗺𝗯𝗲 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝘄𝗮 12 𝘆𝗮𝗻𝗮 𝘃𝘂𝗻𝘄𝗮
𝗟𝗼𝘁𝗲 𝗹𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 𝗺𝗹𝗻 60 𝗺𝗮𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗶 𝘆𝗮𝗽𝗼
𝗞𝗺 1.5 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 𝗿𝗼𝗮𝗱(𝗹𝗮𝗺𝗶)

𝗕/𝗦𝗵𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗵𝗲𝗸𝗮 2 𝘇𝗶𝗽𝗼 𝗞𝗶𝘄𝗮𝗻𝗴𝘄𝗮,𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 𝗹𝗶𝗻𝗮 𝗠𝗶𝗻𝗮𝗻𝗮𝘀𝗶 𝗻𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗰𝗵𝗮 𝗿𝗼𝗼𝗺 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗰𝗵𝗮 𝗺𝗹𝗶𝗻𝘇𝗶
𝗟𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 𝗠𝗟𝗡 15 𝗺𝗮𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗶 𝘆𝗮𝗽𝗼
𝗞𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗕𝗮𝗴𝗮𝗺𝗼𝘆𝗼 𝗿𝗼𝗮𝗱 𝗹𝗮𝗺𝗶 𝗻𝗶 𝘂𝗺𝗯𝗮𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝗺 5

0675 065906
 
Attachments

  • 20240610_133949.jpg
    20240610_133949.jpg
    4.5 MB · Views: 7
  • 20240610_133859.jpg
    20240610_133859.jpg
    4.8 MB · Views: 8
  • 20240610_133959.jpg
    20240610_133959.jpg
    4.1 MB · Views: 10
Ushauri mzuri sana huu kwa watu wasio na hela/wasiofahamu thamani ya ardhi.
𝙉𝙙𝙤 𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖𝙠𝙚 𝙈𝙠𝙪𝙪 𝙢𝙖𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙝𝙖𝙮𝙖𝙛𝙖𝙣𝙖𝙣𝙞 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙢𝙩𝙪 𝙪𝙬𝙚𝙯𝙤 𝙢𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙖𝙩𝙪𝙡𝙞𝙚 𝙖𝙛𝙖𝙣𝙮𝙚 𝙢𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙢𝙖𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙨𝙖𝙬𝙖 𝙨𝙖𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙡𝙚𝙫𝙚𝙡 𝙯𝙖𝙠𝙚
 
Eneo lina ukubwa wa Heka 2
Eneo lote lipotambarare ni mkeka
Linapakana na lami barabara ya mtaa,linafaa kwa uwekezaji
Apartments,shule,Maduka,yard n.k
Lipo kiluvya Gogoni umbali wa kutembea kwa miguu kutoka morogoro road
Bei mln 150
0675 065906
 
Attachments

  • VID-20240707-WA0000.mp4
    33.3 MB
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Usifanye hivi mkuu Tangazo langu ni kuhusu kiwanja sio mambo ya mitandao
 
Viwanja Vinauzwa Salasala.
A/Sqm 650 kipo salasala kilimahewa
Bei Tsh. Milioni 23 maongezi kidogo yapo

B/Sqm 650 kipo salasala Kinzudi-majengo. Kimezungushiwa fenc ya ukuta pande zote, Bei Tsh. Milioni 22 maongezi yapo kidogo.

Simu: 0675 065906

IMG-20240707-WA0004.jpg
IMG-20240707-WA0003.jpg

Eneo linauzwa Mbezi MsaKuzi
Eneo lote lina Ukubwa wa Heka 5
Bei yake mln 85 kwa kila heka
Lina Hati ya Wizara
0675 065906
Mimi binafsi siwezi udalali, nilazima uwe na roho ngumu na dishi liwe limeumba kidogo, kuuza heka 1 kwa sh 85m mbezi Msakuzi yenye barabara ya vumbi pembeni ya jiji, unahitaji uwe na roho ngumu sanaa.
 
Back
Top Bottom