Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani
Hiyo bei hata kwa kiwanja tu bila nyumba bado ni nafuu sana hadi unapata hofu.
Kujiridhisha kunahitajika sana.
 
Aisee! inauzwa bei rahisi sana. Mikopo wakati fulani inatusaidia, ila wakati mwingine ndiyo kama hivi.
 
Kama haina utapeli Atakaenunua atakuwa kaokota dodo.

Kwa size ya kiwanja na eneo ilipo nyumba Bei ni rahisi mno.
 
Kiwanja kinauzwa Kibamba njia panda ya shule.

Pikipiki 1500 hadi site.

Kipo mtaa anaoishi Peter Msechu.

Mtaa wa kishua sana.

Ukubwa wa sqm 700 (35*20).

Bei ni tsh 16 m

Mawasiliano:

0675 065906
 

Attachments

  • 1721038443391.jpg
    1721038443391.jpg
    285.1 KB · Views: 7
  • 1721038447111.jpg
    1721038447111.jpg
    371.9 KB · Views: 7
  • 1721038449799.jpg
    1721038449799.jpg
    317.8 KB · Views: 8
🔥 OFA KUBWA YA VIWANJA 🔥

✅Viwanja vipo Mbezi Mpigi magoe unashuka kituo cha Machimbo
✅Ni sehemu nzuri Sana Kwa Makazi na pamejengeka
✅ Panda gari Mbezi shuka kituo cha Machimbo boda 1000 mpaka site
✅ Viwanja vyote vimepimwa na vipo kwenye ramani
✅️Viwanja zimebaki 7 ukubwa tofauti tofauti
✅Square meter 1 ni Tsh 24,000 tu
✅Mawasiliano zaidi call/SMS/WhatsApp:0675 065906

1720509334753.jpg
Screenshot_20240715_205131_PDF Reader.jpg
 
Kwenye mchoro wako vilivyo chukuliwa ungeweka alama yyte. Ili vilivyo bakia ndio tuchague.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwenye mchoro wako vilivyo chukuliwa ungeweka alama yyte. Ili vilivyo bakia ndio tuchague.

KAZI ni kipimo cha UTU
Mkuu nimekusoma ila kwa mtu muhitaji kweli anaweza kuchukua contact na kupiga simu atapewa taarifa zote
 
𝙒𝙖𝙡𝙚 𝙬𝙖𝙯𝙚𝙚 𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙪𝙡𝙞𝙯𝙖 "𝙠𝙞𝙣𝙖 𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙮𝙖 𝙬𝙞𝙯𝙖𝙧𝙖" 𝙢𝙗𝙤𝙣𝙖 𝙨𝙞𝙬𝙖𝙤𝙣𝙞 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙘𝙤𝙢𝙢𝙚𝙣𝙩𝙨??
 
ukiwa machimbo viwanja viko uelekeo wa kwa Mwaseba, Torino, Msakuzi RC au huku upande wenye njia ya kuelekea Pande, kwa rubaba
 
Back
Top Bottom