CODE-04
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 961
- 2,716
Per Sq.m = 8,500Hekari 1 ni 17M🥸
Bei nzuri, sema Mbezi Msakuzi ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Per Sq.m = 8,500Hekari 1 ni 17M🥸
Anauza heka 1 kwa 85m sio 17m soma vizuri post.Per Sq.m = 8,500
Bei nzuri, sema Mbezi Msakuzi ipi?
Maana yake per Sq.m ni 8,500.Anauza heka 1 kwa 85m sio 17m soma vizuri post.
Watu hawasomi tangazo vizuri mkuuPer Sq.m = 8,500
Bei nzuri, sema Mbezi Msakuzi ipi?
Nisome bei au ?Soma tangazo vizuri mkuu
Sio Hector ni HectareHeka (hector) moja si ndio sawa na sqm 10,000.?
Ambayo ni sawa na mita 100 kila upande.
Hata angeuza heka moja kwa mil 100 bado bei ni ndogo Sana kwa mbezi msakuziAnauza heka 1 kwa 85m sio 17m soma vizuri post.
Eka 1 TZS 85,000,000/=Hekari 1 ni 17M🥸
Ni fursa hiiBongo nyumba bei poa sana
hata ya tope?Bongo nyumba bei poa sana
Sidhani kama hiyo apo juu ni tope,seba kibangaloo kinavutia.hata ya tope?