ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY linakodishwa au kuuzwa kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua.
Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Matosa/ Goba na lina Madarasa, Swimming Pool, Kisima cha Kuuza Maji, Garden kubwa kwa kufanyia Events mbalimbali na Michezo mbalimbali ya Watoto.
Kwa sasa nimeligawa eneo hili ktk Options 4:
1. Endapo mpangaji atalihitaji kulikodisha eneo lote na kila kilichomo, kama Madarasa, Mradi wa Maji, Swimming Pool, Garden n.k basi Kodi ni 1.8mil per month.
2. Endapo mpangaji atahitaji kukodi Madarasa tu na Jiko bila vitu vingine vilivyomo kama Swimming pools n.k, hapo atalipia Kodi ya 1mil tu kwa mwezi.
3. Endapo Mpangaji atahitaji kukodi eneo la Swimming Pool, Jiko na Michezo ya Watoto + Garden tu, then Kodi itakuwa 1mil kwa mwezi.
4. Hii ni Option ENDAPO mpangaji atahitaji kulinunua Eneo lote, basi atanihamisha kwa 550mil tu. Kwa mawasiliano zaidi piga 0675 065906.