Msije mkatuuzia ofisi ya chama ikatuletea shida mbele ya safariNyumba nzuri inauzwa milioni 39 maongezi yapo
Ipo KIBAHA MAILIMOJA
Vyumba Vitatu vya Kulala
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen,store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500
Ipo ndani ya fenc
Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
Maji Dawasco umeme vyote vipo
Umbali KM2 tu kutoka barabara kuu ya lami ya morogoro road
0675 065906
20 mln ni chini sana mkuuHiyo nyumba ni ya mwak gan , mbona ameweka sakafu chin
Offered 20million mfuko wa shati
Mimi ninashida na nyumba , japo cjajua hyo location imekaaje kam utakuwepo hadi September nitaikuta20 mln ni chini sana mkuu
Sawa Boss tuombe uzimaMimi ninashida na nyumba , japo cjajua hyo location imekaaje kam utakuwepo hadi September nitaikuta
Kuanzia hapo hadi kwa mfpa
Mkuu hakuna kitu kama hivyo unaweza fanya researchHilo eneo halihusiki na bomoa bomoa ya hapo Kibaha Mji?
Haidaiwi na Bank haina mgogoro wowoteHaina mkopo wa Bank kweli hiyo ? mana msije mkawa mmechukua mkopo halafu mnataka kumwachia mtu maumivu na ugonjwa wa moyo.
ni uo umasikini, eneo kubwa na bei siyo mbaya!HEKARI 5 ZINAUZWA MBEZI LUGURUNI BEI NI MILIONI 750
ENEO LINA SQM 20150
KILOMETRES 2 KUTOKA LAMI YA MOROGORO ROAD
✅️Ndani ya hekari 5 hizo kuna nyumba ambayo ni apartment ya familia 4 ambazo zinajitegemea kila kitu
✅️Apartment ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala viwili master seble kubwaaa na dining pia jiko
✅️Apartment ya pili pia vyumba vitatu vya kulala viwili master public toilet moja na jiko kubwaa na seble pia dining
✅️Apartment ya 3 ina vyumba viwili vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa na sebule
✅️Apartment ya nne ina chumba kimoja master na seble na jiko
✅️ENEO LINA HATI SAFI KUTOKA WIZARA YA ARDHI
✅️0675 065906
✅️NJOO UFANYE UWEKEZAJI HAPA
View attachment 3057742View attachment 3057743View attachment 3057744View attachment 3057745View attachment 3057746
Mkataba wa mauziano wa serikali za mitaakimepimwa? kina hati?