Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Same thing hapa mkuu
 
Duuuh
 
Ingia hapo twitter, search hiyo thread uzione 😁😁

Halafu sio suala la pesa, siku moja moja unaenda sehemu kama hizo kuushtua umaskini
Wacha bhana, mimi jobless pro max mchezo wa pesa sio mzuriπŸ˜‚πŸ˜†
 
kwani akija na mgeni wake bei ndo zitashuka au siku hizi kuna uwinga mpaka kwenye viwanja vya starehe πŸ˜‚πŸ˜‚
Akija peke ake, jina Lina weza badilika kutoka mgeni hadi.....πŸ˜†.

Uta sikia... nina ndoto ya kwenda sehemu fulani pazuri; yaani una mgeuza tool ya kukamilisha majaribio yakoπŸ˜‚
 
Jobless mwenzetu unakwama wapi, yani huna hata ka appointment ka coffee shop na kubadili accent kama wazungu wa London 😁
Coffee elfu 10, hawa wa huku hawana uzungu.

dating ni opportunity ya kujuana, wao ni chance ya kula ambacho hawaja wahiπŸ˜†πŸ€£
 
Kudadadeki bonge la code
 
Coffee elfu 10, hawa wa huku hawana uzungu.

dating ni opportunity ya kujuana, wao ni chance ya kula ambacho hawaja wahiπŸ˜†πŸ€£
😁😁😁 ahh njaa kali hizo brother, Ila Mimi binafsi sehemu hizo nyingi nimeenda sababu ya clients niliokuwa nakutana nao kipindi nipo kwenye industry flani. Wao meeting sio kwa ofisi, ni kwenye restaurants na coffee shops. Na gharama zake huwa kawaida tu, 6k - 10k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…