Volkswagen yafikiria kufunga viwanda vyake nchini Ujerumani, moja ya sababu ni ushindani kutoka China

Tukizungumzia drones kampuni bora na kubwa ya kutengeneza drones ni DJI ya China imeshika 70% ya soko la dunia
Kwenye drones za kurekodi wakata viuno huko ni China kaachiwa gape.

Kwenye military drones China inazo zimenunuliwa na UAE na Iraq hazina performance kubwa kivile. China level sawa na Israel na Uturuki, haikaribii Marekani.

Kwenye ndege sasa ndio kwanza China ameanza anakuja. Market share ya ndege ni 40% Boeing ya Marekani, 60% Airbus consortium ya Ulaya.
 
Marekani sio muwekezaji mkubwa China.
 
Matumizi makubwa ya drones ni za commercial uses na hapo ndipo Mchina alipowapiga gap wengine na DJI
 
Drones za kimarekani zina performance kubwa ?
 
Kwenye ndege sasa ndio kwanza China ameanza anakuja. Market share ya ndege ni 40% Boeing ya Marekani, 60% Airbus consortium ya Ulaya
Kwa hiyo tatizo liko wapi ikiwa China ana kampuni yake ya ndani ya kutengeneza ndege? Huoni kama wamefikia malengo yao?

Suala la kuwa na small global market share kwa kampuni mpya ni kawaida

Ilikuwa hivyohivyo pia alipoanza na EVs kwa sasa wameshika sehemu kubwa ya global market share

Ni suala la muda tu nchi zitaanza kuagiza COMAC
 
Sijasema ni tatizo China kuchelewa, na si tatizo Marekani akiongoza kuuza drones za kijeshi na China akaongoza kuuza drones za kufanyia video shoot.

Nilichotaka kukuonyesha ni kama Marekani inaunda ndege za kiraia jets tangu 1960s, na China imeweza 2023 basi si tatizo kwa Marekani kuunda drones za kurekodia vigodoro. Ni priorities tu
 
Nilichotaka kukuonyesha ni kama Marekani inaunda ndege za kiraia jets tangu 1960s, na China imeweza 2023 basi si tatizo kwa Marekani kuunda drones za kurekodia vigodoro. Ni priorities tu
Ni sawa Marekani wameanza kutengeneza ndege za kiraia tangu 1960s

Lakini sasa hivi Boeing imepigwa gap na Airbus kwenye soko la dunia. Na Boeing ni kampuni ya mapema kuliko Airbus kwenye utengenezsji wa ndege

Na kama haitoshi Boeing zimekuwa na hitilafu sana mpaka wanafikia hatua ya kuwaua wakosoaji wa Boeing

Kwa hiyo kutangulia sio tija muda wowote meza inaweza kupinduliwa.

Mifano ni mingi ya makampuni ambayo yalikuwa waanzilishi wa kutengeneza bidhaa fulani baadaye wakaja kupigwa gap na kupoteana kabisa
 
Sijasema ni tatizo China kuchelewa, na si tatizo Marekani akiongoza kuuza drones za kijeshi na China akaongoza kuuza drones za kufanyia video shoot.
Nani alikwambia drones for commercial uses ni kwa ajili ya video shoot tu?

China wanatengeneza drones kwa ajili ya matumizi mbalimbali kuna drones kwa ajili ya kilimo, kuzima moto kwenye majengo, kusafirisha bidhaa maeneo ambayo ni remote areas n.k

Hapo sijazungumzia military drones
 
India ikipigwa investments inakuwa manufacturing hub kama China.
India haiwezi kuja kuwa industrial hub kama China bado sana na haitakuja kutokea.

Level za India ni Vietnam na Indonesia.

Tunarudi palepale China ana chain supply na manufacturing ecosytem bora kuliko taifa lolote
 
Ndo hivi kuna watu watabisha ..boing ana shrink hata kabla ya China kuingiza miguu yote ..ni ni mjinga pekee atakayeagiza ndege kutoka marekani kww dolla 200m ili hali ndege kama hiyo kutoka China inapatikana kwa dollar 100 hadi 110
 
Ndo hivi kuna watu watabisha ..boing ana shrink hata kabla ya China kuingiza miguu yote ..ni ni mjinga pekee atakayeagiza ndege kutoka marekani kww dolla 200m ili hali ndege kama hiyo kutoka China inapatikana kwa dollar 100 hadi 110
Ni suala la muda tu

Kuna nchi kama Brunei wameshafanya order ya C919 kama 30

China ni soko kubwa la ndege, sasa hivi COMAC wana order ya ndege 1000+ ndani ya China peke yake
 
Tena Trump akiwa Rais ndio kabisa yule bwana anapenda vya Marekani.
Unamaanisha Trump huyuhuyu anayeionea wivu Mexico kwa sababu ya jinsi China imewekeza sana hapo Mexico?

Bidhaa nyingi za China zinaingia Marekani kupitia Mexico ikiwa kama third party.

BYD kampuni ya China ya kutengeneza EVs ina mpango wa kufungua kiwanda Mexico, Trump kwenye kampeni zake anasema hayo magari ikiwa yataingia Marekani kutoka Mexico atayawekea tariffs kubwa

La sivyo hizo kampuni za Kichina zikafungue factories Marekani ili zisikumbane na hilo rungu la tariffs atakapokuwa raisi




My take: T14 Armata endelea kuchambua vita na silaha huku kwenye intl business na uchumi pamekupita kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…