Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Tupo kwenye mtihani hapa ?Nimeuliza tutayakosa? Sema ndio au hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo kwenye mtihani hapa ?Nimeuliza tutayakosa? Sema ndio au hapana.
Kwenye drones za kurekodi wakata viuno huko ni China kaachiwa gape.Tukizungumzia drones kampuni bora na kubwa ya kutengeneza drones ni DJI ya China imeshika 70% ya soko la dunia
Marekani ndio mwekezaji mkubwa kwa China,
Kwanini asiwekeze?Kwa nini Marekani aende kuwekeza China?
Kwanini asiwekeze?
Marekani sio muwekezaji mkubwa China.Kila kitu kinatengenezwa. Mexico iko pua na mdomo na Marekani, India ni hasimu wa China kiulinzi na kidiplomasia. Ukiinua India ambayo ina workforce na mishahara midogo zaidi kuliko China unapunguza kuihitaji China.
Population ya India ni kubwa zaidi ya China, elimu ipo hukosi watu ukifungua hata viwanda vya aeronautics. Soko lipo. Unabaki na vitu kama kuongeza umeme wa kutosha, bandari, reli vitu ambavyo investors wanaweza ingia miaka michache tu vikawepo.
Wateja wakubwa wa China hawa hapa. Ukiachana na Urusi, nani rafiki wa China kidiplomasia hapa? ASEAN wenyewe ndio hao kuna Philippines na Vietnam wanagombea bahari na China. Wengine kina Singapore wana mikopo kibao na investments kubwa za EU na MarekaniView attachment 3088151
Marekani ndio mwekezaji mkubwa kwa China, na ndio mteja mkubwa, na ndio mtoaji mkubwa wa teknojia kwa China. Ni kitendo cha kuhamisha influence wakiona mlinganyo sio kwa maslahi yao. Yaani unacheza na Marekani aliyeipiga Ujerumani ikachakaa kisha akaisimamisha iko top 5 kiuchumi? Akaipiga Japan ikachakaa kisha akairudisha top 5 kiuchumi duniani? Akaikuta South Korea haina hata bajeti ya kulipa mishahara wafanyakazi, akaanza kutoa hela hata za kuendeshea serikali leo hii South Korea inashindana GDP na Urusi?
Hapo ni fair game anayeona hana maslahi anatoka ila wakiamua kufungiana vioo kuna mtu ataumia zaidi.
Kwenye drones za kurekodi wakata viuno huko ni China kaachiwa gape.
Kwenye military drones China inazo zimenunuliwa na UAE na Iraq hazina performance kubwa kivile. China level sawa na Israel na Uturuki, haikaribii Marekani.
Kwenye ndege sasa ndio kwanza China ameanza anakuja. Market share ya ndege ni 40% Boeing ya Marekani, 60% Airbus consortium ya Ulaya.
Drones za kimarekani zina performance kubwa ?Kwenye drones za kurekodi wakata viuno huko ni China kaachiwa gape.
Kwenye military drones China inazo zimenunuliwa na UAE na Iraq hazina performance kubwa kivile. China level sawa na Israel na Uturuki, haikaribii Marekani.
Kwenye ndege sasa ndio kwanza China ameanza anakuja. Market share ya ndege ni 40% Boeing ya Marekani, 60% Airbus consortium ya Ulaya.
Zimezalishwa Mexico kwa mtaji wa Mchina. Mkuu hizo huoni ni bidhaa made in Mexico. Au unahisi Marekani haijui maana ya FDI.![]()
How Chinese firms are using Mexico as a backdoor to the US
Chinese firms are racing to set up factories in Mexico to bypass US tariffs and sanctions.www.bbc.com
Kwenye ndege sasa ndio kwanza China ameanza anakuja. Market share ya ndege ni 40% Boeing ya Marekani, 60% Airbus consortium ya Ulaya
Unaweza ukanisaidia source iliyoandika hii habari amnayo China imehusishwa? Au hili la China ni maoni yako tu?
Sijasema ni tatizo China kuchelewa, na si tatizo Marekani akiongoza kuuza drones za kijeshi na China akaongoza kuuza drones za kufanyia video shoot.Kwa hiyo tatizo liko wapi ikiwa China ana kampuni yake ya ndani ya kutengeneza ndege? Huoni kama wamefikia malengo yao?
Suala la kuwa na small global market share kwa kampuni mpya ni kawaida
Ilikuwa hivyohivyo pia alipoanza na EVs kwa sasa wameshika sehemu kubwa ya global market share
Ni suala la muda tu nchi zitaanza kuagiza COMAC
Nilichotaka kukuonyesha ni kama Marekani inaunda ndege za kiraia jets tangu 1960s, na China imeweza 2023 basi si tatizo kwa Marekani kuunda drones za kurekodia vigodoro. Ni priorities tu
Sijasema ni tatizo China kuchelewa, na si tatizo Marekani akiongoza kuuza drones za kijeshi na China akaongoza kuuza drones za kufanyia video shoot.
Najua, hata kwenye trade ya China na Marekani mwenye deficit kubwa ni Marekani.
India ikipigwa investments inakuwa manufacturing hub kama China.
Ndo hivi kuna watu watabisha ..boing ana shrink hata kabla ya China kuingiza miguu yote ..ni ni mjinga pekee atakayeagiza ndege kutoka marekani kww dolla 200m ili hali ndege kama hiyo kutoka China inapatikana kwa dollar 100 hadi 110Kwa hiyo tatizo liko wapi ikiwa China ana kampuni yake ya ndani ya kutengeneza ndege? Huoni kama wamefikia malengo yao?
Suala la kuwa na small global market share kwa kampuni mpya ni kawaida
Ilikuwa hivyohivyo pia alipoanza na EVs kwa sasa wameshika sehemu kubwa ya global market share
Ni suala la muda tu nchi zitaanza kuagiza COMAC
Ndo hivi kuna watu watabisha ..boing ana shrink hata kabla ya China kuingiza miguu yote ..ni ni mjinga pekee atakayeagiza ndege kutoka marekani kww dolla 200m ili hali ndege kama hiyo kutoka China inapatikana kwa dollar 100 hadi 110
Kwani imechukua miaka gani Mexico kuipiku China kuwa trade partner mkubwa zaidi wa Marekani?
Tena Trump akiwa Rais ndio kabisa yule bwana anapenda vya Marekani.