Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sasa marekani ama wamarekani wanafaidikaje na hili maana kwao pia wese halishikikiKinachoendelea ndio original plan ya Trump na matajiri wa Wall Street, vuruga oil and gas businesses za Middle East ili wamiliki soko lote duniani,US ndio number one kwa uzalishaji wa mafuta na gas,sasa wamekamata soko lote na dunia nzima tunawalipa wamarekani sasa, ni kama kwenye gas tuu,kabla ya vita ya Russia na Ukraine, 90% ya European gas ilikuwa inatoka Russia,sasa ni less than 10% na US kachukua soko lote la ulaya sasa,Hakuna cha amani wala nuclear ni oil na gas tuu na mpaka vita ziishe oil infrastructure zote za waarabu zitakuwa kwisha habari yake,na atakayekuja kuzitengeneza upya mnamjua
Leo tumekuachia uwanja uzidi kusasambua 😊Danganya Wafuga Midevu na Majini wenzako!! Hormuz kuna Naval Blockade ya Marekani!! Wajinga tu kama wewe wanajifanya hawaoni hiyo Blockade!¡
US ikiingia vitani kwa kuvamiwa military industrial complex inafufuliwa. Akina Huntington Ingalls wanazalisha nyinginezo.Hivi Kuna bahari yoyote kubwa ambapo hamna aircraft carrier au Navy fleet ya Marekani?.... nadhani hiyo ni kiashiria za Superpower ..
Sasa ikitokea yupo kwenye mzozo na nchi kubwa Ina maana carrier zilizopo maeneo mingine itabidi ziwe deployed kwenye eneo karibu na mzozo...yaani huyu polisi ataacha maeneo mengine bila ulinzi..
Hata huko Iraq na Afghanistan, kuna mahali wanajeshi wa Marekani waliuwawa kwa mawe . Zile sehemu zenye milima,wenyeji walikuwa wanawategea,wanajeshi wakiwa wanapita,mawe yanaporomoshwa haijulikani yanapotokea,mwanajeshi mwenye silaha nzito anauwawa kwa jiwe. Makamanda wa US walioenda Iraq na Afghanistan wana stori za kushangaza sana kama movie vile.Ni kweli. Vita havitumii silaha tu bali hata Mbinu za Medani. Ebu fikiri jinsi MKWAWA alivyowatandika Wajerumani akafanikiwa kuwaua askari wengi wa kijerumani pamoja na Kamanda wao Emil Von Zelewisk na kuteka mizinga na bunduki nyingi jeshi lake likiwa linatumia tu mishale na mawe.
Huyo ni IRGC ndio kampa kiburi muhuthi ana mwaga moto mbaya, wana tech ya drones na wanatumia satelites za muajemi asee saivi wako vizuri mno kwenye shabaha wanapiga hadi moving vehicles kwa missiles
Aramco wanapitia wakati mgumu na hasara kubwa kutokea.
Aramco ukicheki shareholders wengi ni Americans
Wa houth hawana shida na nchi zingine zaidi ya saudia na wame sema hakuna meli ya saud kupitaIla Pakistan ni Muhindi Kichaa. Pia ni Mzee wa Sembe hatokubali biashara yake ya Sembe isipite katika huo mlango wa bahari lazima atakiwasha
Jamaa inaonekana amekata tamaa na Marekani,alikua anaiona Marekani kama haipigiki.Vituko na vitimbi😂
Bado hajasema uyu Mwamba tumpe mda zaidi atakuja na Sababu kituko cha kushangaza
zaidi🤠🤠
Ha ha haa,ana mtu wake huyo,akisema Marekani "oyeeee,"😁😁😁
Hivi simu yako imeibwa ama 🤔🤔 manaa haya madini
Haya ngoja tuone ulowatag watasemaje
Hapana, Wa kwetu wanatumia marungu, wakati Houth wanatumia machine guns,makombora na vilipuzi.Hawa mgambo wa Houth ni kama hawa wa kwetu?
Naomba nikujibu kwa kadri nitakavyojaaliwa.Naomba kuuliza; Kati ya Jeshi letu na Wahouth wakiamua kuzichapa nani kati yao atashinda vita?
Naomba nikujibu kwa nitakavyo jaaliwa.Hawa mgambo wa Houth ni kama hawa wa kwetu?
Wa houth hawana shida na nchi zingine zaidi ya saudia na wame sema hakuna meli ya saud kupita
Saudia wana jeshi bandia la kufanya Gwaride tu , intelijensia ya nchi nzima imeshakwa na USA ...Hawezi kupigana bila approval ya USA ...
Bora sisi tuna viongozi wenye vision ya upigaji, kuteka, na kupoteza watu.Trump ameingamiza sana Marekani. Nguvu kubwa ya Marekani baada ya vita ya pili ya dunia ilitokana mambo mawili tu: (a) kuwa na washirika wenye nguvu huko Ulaya, na (b) kuwa na ushawishi sehemu nyingi duniani kwa kutumia VoA, Peace Corps, na USAID. Trump amefuta yote hayo mawili na sasa Marekani inarudi enzi za 1920!
Ndiyo malipo ya kuwa na viongozi wasiokuwa na vision
Jamaa inaonekana amekata tamaa na Marekani,alikua anaiona Marekani kama haipigiki.