Unajua nchi jirani imejijenga mno kijeshi kwa miaka mingi tena wakiwekeza mpaka kwenye teknolojia za kisasa, hivyo haishangazi kuwabonda wale jamaa zetu...sio kweli.
..walikuwa na silaha nzito.
..Na baada ya kusalimu amri silaha zote nzito zilisafirishwa kupitia Rwanda na kurudi Tanzania.
..silaha za Afrika Kusini zilirudishwa kwao toka uwanja wa ndege wa Chato.
Unajua nchi jirani imejijenga mno kijeshi kwa miaka mingi tena wakiwekeza mpaka kwenye teknolojia za kisasa, hivyo haishangazi kuwabonda wale jamaa zetu.
Ila tukubali tu SADC ya Sasa sio kama Ile ya enzi zile, kwa Sasa imejaa wahuni , mafisadi na wapiga Dili tu wanaotembelea tu jina la 'SADC' ila ni usanii mtupu.
Ila hicho kikosi cha SADC kiliundwa kupambana zaidi na makundi ya waasi wenye silaha za kawaida tu mfano Fdlr, Maimai n.k sio kupambana kijeshi na 'Conventional army' kama la nchi jirani, nadhani hilo pia lilichangia kushindwa.
Kwani wapi nimesema Iran inapigania dini? Nimekwambia wazi inapambania hadi wakristo wa Lebanon wanaouwawa huko South Lebanon kwahiyo mpaka hapo Iran haipiganii dini yoyote.Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.
Wanataka maslahi gani kwa mfano? Kwani wakibaki kwenye mipaka yao wanapoteza nini?Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.
Kama ndio malengo kivipi sasa wapambane na Israel na USA si wangepambana na majirani zao kama Pakistan, Azerbaijan, ili kuzipindua why wahangaike kupambana na west?Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam
Mbona UAE na Saudi Arabia ni sunni ila wanajitanua hadi Yemen na Sudan? Au kwao ni halali ila kwa Iran haramu?Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.
Haupo serious? Hivi bila Iran unadhani palestina, Syria au Lebanon zinge survive mpaka leo? Hao wazayuni mnaowachekea ndio kesho watawamaliza unaona sasa wamemgeukia Qatar na Uturuki!!Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.
Punguza udini kijana, hivi vita sio vya kidini pia vibaraka ni hao Saudi Arabia, UAE, Syria n.k. wanaokubali kutumiwa na wazungu kuuza utu wao.Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Unangojea nini sasa 😃Hawa Wapuuzi Irani wanatakiwa kushughulikiwa
Kuua wanafunzi wakiwa shule sio crimeKuna kitu hujajua Iran angekua na uwezo wa kugusa ardhi ya mu America angepiga ovyo ovyo na kuua raia wasio na hatia
Mmarekani ndio ningekua Mimi ningemaliza vita kwa wiki moja ninge acha magofu na majivu na kuua watu wasio na hatia pelekea moto woteeeeeee wanao husika na wasio husika MPAKA PANYA WOTEEEEEEE WASITOKE MATUNDUNI MWAO
Sema mmarekani anafuata maazimio ya UN , Hakiuki na hafanyi crime against humanity
Haya kakojoe ukalaleDola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.
Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.
Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam.
Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.
Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.
Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Ndio plan ya Trump na wenzake,wamechukua Venezuela, biggest oil producer Russia yuko hoi ,middle East oil infrastructure zinapigwa viberiti, unafikiri nani anafaidika😁Sasa marekani ama wamarekani wanafaidikaje na hili maana kwao pia wese halishikiki
Ama hii spesho kwaajili ya vibopa kina trumpet na jamaa zake
Umetaja Russia. Aircraft carrier yao iko kwenye matengenezo zaidi ya miaka 7.K
Karne hii aircraft carrier ni wastage of dollars Vita vya sasa ni teknolojia ya drones na makombora Hayo mangalawa yanayoshika kutu na faults kibao unafikiri siku USA akijaa kwa China au Urusi itakuwaje?
Wewe mwehu kabisa umekuwa Brainwashed na Magaidi wa Iran!!Dola ya Kishia ya Iran haiwatetei Palestine wala Waislam, bali inasukuma agenda zake na maslahi yake. Haijali chochote kuhusu Waislam.
Dola ya kishia ya Iran inalitumia suala la Palestine kupata maslahi yake na kusukuma agenda zao. Wanazitumia damu za Wapalestina kufikia malengo yao na kuitumia Struggle ya Ndugu zetu Wapalestina ku gain kistratejia. Hiyo Dola ya kishia haijali kuhusu Masjid al Aqswa wala Al Quds (Jerusalem) wala Palestine.
Malengo yao hasa hao Mashia ni kuzivamia na kuzishika Nchi za Kiislam.
Kama mazayuni walivyo na ndoto ya kujitanua katika Nchi za Kiislam na mashia wa Iran pia wana ndoto hiyo hiyo ya kujitanua katika Nchi za Kiislam.
Mazayuni na Dola ya kishia ya Iran ni pande mbili za sarafu moja, ila Mashia ni waovu zaidi na wana shari zaidi kwa Waislam kuliko Mazayuni.
Allah Aiangushe Dola hiyo ovu mno chafu ya kishia na vibaraka wao, na Aiangushe Dola ya kivamizi ya mashetani wa kizayuni, Allahumma Aamiin.
Bado sijaona hoja ya msingi sana hapa mpaka sasaNdio plan ya Trump na wenzake,wamechukua Venezuela, biggest oil producer Russia yuko hoi ,middle East oil infrastructure zinapigwa viberiti, unafikiri nani anafaidika😁
Kama wewe ulivyokua brainwashed na ******* na masaganaji ya teli avivuWewe mwehu kabisa umekuwa Brainwashed na Magaidi wa Iran!!
Naona bwana ubwabwa 😁 unajitekenya mwenyewe na kucheka haaahaaKuua wanafunzi wakiwa shule sio crime
Kuua watu wakiwa harusini sio crime??
Kupiga miundo mbinu ya kiraia sio crime
Marekani anatamani kufanya zaidi ya ulivyosema ila anajua atapelekewa moto zaidi ya huu wasasa
Saudia Arabia wanakuja na Plan ya kujenga pipeline nyingine ya kutokea Dubai kwenye Fujairah Port ambapo meli hazifiki Strait of Hormuz
Saizi hataki tena kutumia Yanbu port anataka atumie Fujairah ipo Dubai. Hata container saizi kaanza kuzipitisha Dubai kwa railway na barabara kisha ziingie Khor Fakkan. Kabla alikuwa anatumiza bandari yake Jizan PortKwani ile pipeline yasasa si ilikuwa inaenda YANBU kupitia Red Sea lkn ndio imepigwa Saudi Arabia alikuwa na njia mbili kufikia sasa za kusafirisha Mafuta yake ✍️
Pili Iranian ilishatangaza Makombora yake yanafika popote kuzuiya usafirishaji wa Mafuta kwanjia ya pipeline
Saudi Arabia ilichekelea Vikwazo vya Trump kwa Biashara ya Mafuta ya Iranian
Kwasasa majuto ndio mjukuu
Saudi angeuza yake na mwenzie angeuza yake leo kungekuwa na Amani lile eneo
lkn Uwepo wa Majeshi ya Marekani kwenye mgongo wa Saudi Arabia ukampa kiburi Saudi❗️ kuchokoza Wahuni
Sasa Iranian inataka kumuonesha kuwa wewe uwezi kufikia Soko pamoja na Majeshi ya Marekani kuwepo kwako!!!
Ndiomana unaona Chezo lile pale Yemen wanatakiwa kufanga Red Sea sasa
Twambie Mafuta atapitishia wapi❓️
Siasa zenu zimeathiri kila sekta, hamna ambayo imebaki salama...tumetandikwa.
..tukibisha hatutajirekebisha.
..tutaishia kutandikwa tena na tena.
..wakati hiyo nchi jirani inajijenga sisi tulikuwa wapi, tunafanya nini kijeshi na kiusalama?
..kungekuwa na Sadc ile ya zamani, au enzi za Mwalimu na Mwinyi kingenuka kwelikweli.
..hata JK sidhani kama angeruhusu ujinga/ urojo uliotokea. Mkapa sina uhakika.
Sasa kutokea Dubai kisha wanaenda wp❓️Saizi hataki tena kutumia Yanbu port anataka atumie Fujairah ipo Dubai. Hata container saizi kaanza kuzipitisha Dubai kwa railway na barabara kisha ziingie Khor Fakkan. Kabla alikuwa anatumiza bandari yake Jizan Port