Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

Sasa kutokea Dubai kisha wanaenda wp❓️
Ukiwa Fujairah huna haja ya kupita Strait of Hormuz. Hapo unakuwa umekwepa hiyo Fujairah na Khor fakkan ndio port ambazo huna haja ya kupita mlango huo. Oman port zake zote zinapiga kazi hazijaathiriwa kabisa.
Cheki Ramani hiyo
 
Kumbe Zwazwa kiakili
Umejibiwa Hoja yako ya Ubinadamu wa Marekani ❌️

Sasa umeijibu kujionyesha ulivo mweupe kichwani Zwazwa 🫎🫎
Muhajemi Hana akili anatahiiwa na kisu butu cha ngariba..

Wewe kwa Sasa endelea kugombania remote hapo hapo kwa shemeji Yako
 
Waacheni Wafuga midevu na majini wauane tu ikiwezekana wamalizane wote ili dunia iwe sehemu salama pa kuishi!!
 
Ngoja wajijenga pale tuwe na Hormuz nyengine

Trump nywele zitamnyonyoka

Israel ile Bandari yake ya kusini ya Eilat inaenda kufa kabisa

Wafugie Samaki tu🤔🤔
hvi israel pia huwa meli zake zinapita hapo kwenda bandari zake
 
Ukitaka kujua Trump na wenzake wamefanikiwa, wazungu wanasema follow the money 😁,angalia share za makampuni ya mafuta zilivyopanda tangu vita ianze
 
Beberu anajua oil and gas businesses ndio zinafikia mwisho na nguvu yao kubwa kutokana na petrodollar inaenda kwisha pia,wanachofanya ni kukamua za mwisho mwisho,mchina alichofanya kwenye renewables (nishati safi) na electric cars technology ndio msumari wa mwisho kwa beberu 😁,dunia itabadilika sana
 
..tumetandikwa.
Muhimu ukumbuke M23 sio Waasi wa kawaida wanaojificha msituni na kufanya ambush za hapa na pale, Lile ni jeshi kamili, kiufupi Drc ilivamiwa na nchi jirani.

Ripoti za UN zilikadiria kulikuwa na Askari mpaka 4000 kutoka nchi jirani wakipigana na Jeshi la Drc kwa kivuli cha M23.
 

..tumetandikwa, na huo ndio ukweli wenyewe.

..mbona Zimbabwe waliweza kuwazuia wavamizi wa Drc mwaka 1999?

..Sadc imelegea ndio maana M23 wako pale.
 
..tumetandikwa, na huo ndio ukweli wenyewe.

..mbona Zimbabwe waliweza kuwazuia wavamizi wa Drc mwaka 1999?

..Sadc imelegea ndio maana M23 wako pale.
SADC ya Sasa sio kama ya mwaka 1999, hii ya Sasa imegeuka klabu ya viongozi kukutana na kupiga Soga hili lipo wazi kabisa.

Lazima utambue kile kikosi kilihusisha nchi 3 tu za SADC tena haikuwa 'full mobilization ' ya majeshi ya SADC kama ilivyokuwa mwaka 1998, tena kilikuwa na askari wachache tu ukilinganisha na RDF iliyofanya full mobilization na kupeleka maelfu ya askari.

SADC haifanyi kazi kama NATO yenye permanent 'integrated army &command structure' , kwa SADC ni wanachama 3 tu walipeleka askari wao hivyo haikuwa rahisi kuunda jeshi kubwa la pamoja.

M23 ilikuwa na tactical advantage + terrain familiarity + mobility + heavy weapons + alleged major Rwandan military support, wakati SAMIDRC ilikuwa force ndogo, yenye mandate yenye mipaka, logistics ngumu, ikitegemea FARDC ambayo ilikuwa na udhaifu mkubwa.
 
..tumetandikwa, na huo ndio ukweli wenyewe.

..mbona Zimbabwe waliweza kuwazuia wavamizi wa Drc mwaka 1999?

..Sadc imelegea ndio maana M23 wako pale.
Stupid and tribalist Congolese government wanawakatalia M23/banyamurenge haki zao za uraia ndio root cause ya vita na ilianza wakati wa dikteta Mobutu,SADCC wanampigania nani 🤔, M23 wako pale kwa sababu ni kwao and fighting for their rights and survival
 
Libya walifanikiwa kwasababu Ghadaffi alikuwa fisadi wa ndani na akatengeneza maadui wengi ndani
Gaddafi hakuwa fisadi wala nini. Kiufupi waarabu hawana msimamo na hawana umoja na wanafiki. Ukishamuahidi mmoja madaraka basi ni rahisi kumpindua mwenzake. Kwani yule rais wa Misri baada ya Gamal Abdul Nasir aliyeuawa kosa lake lilikua nini!? Waarabu wanafiki.
 

Kwanza ilikuwa Dubai
Tena imekuwa Oman ❗️
Oman na Iranian wapo pamoja kuzuiya izo Meli kupita popote pande zao!!!

Oman hawezi kwenda kinyume na Iranian
Wanawajua Wairani vizuri kama zinapita yumkin kuna malipo yanafanyika kimya
kimya Marekani wasijue ✍️
 
Kaka acha kujibu watu wenye UFALA wa akili. We unaona kabisa huyu mtu analeta ubishani haleti majadiliano. ACHANA NAYE KAKA USIJIPOTEZEE MUDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…