Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndiyo maana product zao zina kasoro nyingi
Ubora Africa:
UDSM ya 37, - viongozi mafisadi
SUA ya 79 - graduates hawawezi hata kuwa na bustani
Muhimbili ya 89 - wagonjwa hawathaminiwi
UDOM ya 123 - walimu wanavaa kata K,
Muhimbili wwatapanda chati soon 👇Nimeshangaa sana UDSM kuwa mamba 37 barani Africa
Udsm hii hii iliyosomesha Viongozi Maarufu barani Africa inakuwa namba 37?!🐼
Basi Elimu yetu imevamiwa na tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri
Tuliwambia msifanye vyuo kuwa Vyawa.. ona sasa.Nimeshangaa sana UDSM kuwa mamba 37 barani Africa
Udsm hii hii iliyosomesha Viongozi Maarufu barani Africa inakuwa namba 37?!🐼
Basi Elimu yetu imevamiwa na tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri
Kweli ccm ikahakikisha viingozi wa vyuo na serikali za wanafunzi lzm rais awe Chawa wao...thinking ime shrink to zero levelHata JF ilikuwa inaongoza Afrika kabla ya kuvamiwa na chawa wa CCM
Kazi kweli kweliKumbe ndiyo maana product zao zina kasoro nyingi
Ubora Africa:
UDSM ya 37, - viongozi mafisadi
SUA ya 79 - graduates hawawezi hata kuwa na bustani
Muhimbili ya 89 - wagonjwa hawathaminiwi
UDOM ya 123 - walimu wanavaa kata K,
Siku nyingi sana.Alitoka UDOM na baada ya hapo Mzumbe University.Sasa hivi yupo Dar. anahangaika na maisha yake.Mkuu
Yule kijana wako anae soma UDOM alikwisha hitimu?
Umeongea points sana mkuu, heshima kwakoVyuoni tumeshuhudia mabinti wanatoka na malecturer usiku wa kuamkia U.E wanapewa possible wanasolve na wenzao wa karibu na kesho yake wanapasua paper.
Vyuoni tumeshuhudia wale machawa wa malecturer wakipewa favor za kutosha na kupelekea kua na ufaulu mkubwa.
Chuoni nimeshuhudia classmate anakula supplementary somo ambalo yupo very competent. Eti kisa wakati wa oral exam alikua anajibu maswali kwa confidence mpaka lecturer akachukia! Yani unachukiwa kwasababu una akili!
Chuoni nimeshuhudia rafiki yangu akiwa discontinued, na alikua among the best in class eti kisa kuna binti lecturer anamtaka na jamaa alikua na ukaribu nae. Akaundiwa zengwe na mwishoe hakumaliza chuo!
Kwa hali hii hatutaweza compete at the highest level na mataifa mengine labda hiki kizazi cha sasa kipite!!!
Chadema ndio walienda kuwachukua Akina Zitto Kabwe na Akina Heche na Silinde na kufanya Daruso iwe tawi lakeChanzo ni CCM!
vijana endeleeni kusoma na kujifunza kwa bidii zaidi, UDSM bado ni chuo kikuu bora zaidi barani Africa katika maeneo mengine mathalani katika Tafiti.Nimeshangaa sana UDSM kuwa mamba 37 barani Africa
Udsm hii hii iliyosomesha Viongozi Maarufu barani Africa inakuwa namba 37?!🐼
Basi Elimu yetu imevamiwa na tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri
Ngoja tuone 🐼vijana endeleeni kusoma na kujifunza kwa bidii zaidi, UDSM bado ni chuo kikuu bora zaidi barani Africa katika maeneo mengine mathalani katika Tafiti.
maboresho makubwa zaidi yanaendelea na yanakuja katika masuala ya science na technolojia achilia mbali mitaala na kwahiyo ile yetu namba MOJA tutairejesha soon....
Tangu aondoke Prof. Mathew Luhanga ndipo UDSM ikawa "extended high school".Yaani UDSM imekuwa ya hovyo Sana siku hizi,Generali Ulimwengu alisema "sikuhizi UDSM imekuwa form ten" yaani chuo kinampangia mtu namba ya kugikiri.
UDSM miaka hiyo mambo sensitive ya nchi Yalikuwa yananzia pale kupingwa au kuungwa mkono kwa hoja,rejea kipindi Cha Akina Samweli Sita waanzilishi wa Revolution Square darajani kwenda hall 5.
Tangu Prof Mkandala aachie ngazi chuo kimeendelea kudolola.No research za maana,no hot discussion,kupungua kwa idadi ya waandamizi(senior academician) kama akina Prof Shivji,Mbonile n.k,,,siku hizi wanaopiga lecture ni vijana wanaosomea masters,na Hawa ndio wanaendekeza sana ngono na wadada ilikupata maksi.
Jitihada za Makusudi zifanyike kuokoa chuo hiki,binafsi nilijivunia kusoma UDSM ilivyokuwa na hadhi yake,miaka hiyo wanachuo wanaargue kweli na migomo Kwa kwenda mbele.