Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake



Kumbukumbu la Torati 23:2

“Mwana haramu hataingia katika kusanyiko la Bwana, hata kizazi cha kumi.”


Mathayo 1:1-6

Yesu (pbuh) anatajwa kuwa mzao wa Daudi. Katika ukoo wake tunaona Phares mwana wa Yuda na Tamari.


Mwanzo 38:24-28

Phares alizaliwa kupitia uasherati wa Yuda na mkwewe Tamari.


Kwa hiyo, Daudi alitokana na Phares, ambaye Maandiko yanamuita mwana haramu.

Hii inamaanisha kuwa Daudi na hata Yesu hawangeingia katika kusanyiko la Bwana?

Hii ndiyo biblia
 

Mbona umesahau id yako ya kawaida au unapenda kujiita mwendawazimu. Chizi ??
 

Kinyume chake Ndo Mtume wa Shetani alichokuja waambia majini na watoto wa shetani. Ndo maana alikuwa na tabia zote za kishetani. Ubakaji, ulawiti, kuvaa nguo za mke wake Aisha ili apate wahyi, kukojoa amechuchumaa, kufumaniwa anagegeda mfanyakazi.

Kwenda oa jimama limtunze, kurogwa , kuwa na kichaa wakati mwingine kiasi hajui kama katiana na wakeze au laaah... Yaani Muddy alikuwa kituko na mtumwa wa shetani. Na dhambi zake ni zile pendwa ndo maana hata mimi kwa tabia zangu ni mfuasi wake.

Sema kwenye kuoa katoto kadogo hapo kanizid hapo inatakwa ujasiri kama wa shetani kabisa na kunyonya ndimi za hassain na hussein. Nilichoka kabisa. Kisha akaja lambwa yeye na ulimi wa shetani akaona wa baridi. Akamsilimisha awe muislamu. Ndo maana waislamu wanaongezeka kila siku.
 


Mbona umesahau id yako ya kawaida au unapenda kujiita mwendawazimu. Chizi ??
 


Melkizedeki: Mungu Mkubwa Kuliko Yesu?


Biblia inamtaja Melkizedeki, mfalme wa Salemu na kuhani wa Mungu aliye juu sana (Mwanzo 14:18-20).

Waebrania 7:1-4 humweleza kama mfalme wa haki, mfalme wa amani, asiye na baba, asiye na mama, asiye na mwanzo wa siku wala mwisho wa maisha, na kufananishwa na Mwana wa Mungu, kuhani milele.


Yesu (a.s.) alizaliwa na akafa (Luka 23:46), lakini Melkizedeki anasemekana hana mwanzo wala mwisho. Hii inaleta maswali:


  • Kwa nini hawamwabudu Melkizedeki kama wanafanya kwa Yesu?
  • Je, mungu asiye na wazazi si mkuu kuliko aliyezaliwa?
  • Ikiwa Abrahamu (a.s.) alimtolea sehemu ya kumi, je, alikuwa akimtolea mhusika wa kufikirika?

Kutokana na aya hizi tunaona:


  1. Melkizedeki ni sawa na Mwana wa Mungu.
  2. Huduma yake ni ya milele.
  3. Tofauti na Yesu (a.s.), hakuzaliwa wala hatakufa.

Kwa nini basi maneno yanapomhusu Yesu huchukuliwa kihalisi, lakini yakimhusu Melkizedeki hufasiriwa vinginevyo? Dini ya kweli ya Mungu haipaswi kutegemea visingizio au imani pofu, bali ukweli usio na dosari.
 
Punguzeni shobo wakati mwingine 😂😂😂😂😂😂😂. Hiyo dini haiwezi kujisimamia yenyewe hadi iokoteze okoteze maneno huko na huko. 😂😂😂😂
 
Mbona umesahau id yako ya kawaida au unapenda kujiita mwendawazimu. Chizi ??


Mfano wa hadith (Sahih Muslim, Kitāb al-Zuhd, hadith 1827):

Mtume amesema:
"Hakika watu wa Jannah (peponi), Mwenyezi Mungu atawashikilia mbingu na ardhi kwa mkono wake, na mikono yake yote miwili ni ya kulia. Kisha atasema: Mimi ndiye Mfalme, mimi ndiye mwenye mamlaka."
 
Uislami haujitoshelezi ni kweli,ndo maana kina Covax hawawezi kuueneza bila kulingania na bible!
Najua inajua maana ya kulingania
 
Umemaliza!
 
Sisi tumaamini na huna la kutufanya wewe eneza uislami kwa.muktadha wa kurwan.
Kurwan tulishawaambia haijitoshelezi mnakataa manake hata mtume wenu alishaweka bayana kuwa Mungu wenu (allah) siyo Mungu wetu!
Tumaamini miungu tofauti so wee komaa na allah sisi tukomae na utatu mtakatifu!
 


Uislami haujitoshelezi ni kweli,ndo maana kina Covax hawawezi kuueneza bila kulingania na bible!
Najua inajua maana ya kulingania

kWANI bIBLIA KITABU CHA NANI ??
 
kWANI bIBLIA KITABU CHA NANI ??


Qur’an 2:97–98 kwa Kiarabu na Kiswahili:

2:97
Kiarabu:
مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

Kiswahili:
“Yeyu aliyekuwa adui wa Jibril, hakika yeye amemteremshia (Muhammad) (Qur’an) kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, akithibitisha yale yaliyo mbele yake, na kuwa mwongozo na bishara kwa Waumini.”

1. Jibril ni nani?
2. Nani alikuwa Adui wa Jibril


Haya ni moja ya maswali ambayo yamekuwa yakinisumbua.

1. Je jibril ni Jini au Malaika? Kama ni Malaika ilikuaje hakujua Muhammad hajui kusoma na kuandika? Ilikuaje akawa anamkaba nusura ya kumuua?
Je alikuwa Jinn? Kumbuka hakujitambulisha popote mpaka Mama mtu mzima Khadija alipompeleka MUHAMAD KWA MGANGA AMBAYE NI MJOMBA WAKE NA WAKAMWAMBIA "AJIBASHIRIE UTUME"

2. Tukisema Jibril alikuwa Malaika. Sasa aliyekuwa adui wa Jibril ni nani? Bila shaka ni shetani. Sasa Shetani kamteremshia Quran Muhammad?
 
Mungu anajitosheleza hawezi tafuta wa kumuita Mungu.Jina la Yesu linapita majina yote.Kama hujue zingatia hili...Wazungu walieneza neno la Mungu ila hawakulianzisha na kama wangeanzisha wao tungeona nchi kama za UK,France,German na nyingine zikiwa ndo Zina wahusika au matukio katika biblia.
I know that nchi pekee ya ulaya iliyo tajwa zaidi katika biblia ni Italy. Well I feel like having no clear time to explain but finishing by saying "if you think that the bible is biased and generally European think of biblical characters and events,if you find them European constructed then your view might be a paradox"
 
Ngoja nifikirie kama unavyofikiri ww.

Sawa Yesu alimwita Allah.

Kwahiyo Mungu wa Mtume Mohamed ndio huyo huyo Mungu wa Yesu.
Na ndio Mungu wa Wakristo na ndio Mungu wa Waislamu.
Tunajenga nyumba 1 tunagombania Fito na misumari
 


MJOMBA , MELCHIZEDEK MUNGU WA NNE WA BIBLIA


Biblia pia inasema kwamba Yesu alipaswa kuwa “sawasawa na Melkizedeki.” Na Melkizedeki ni nani?

Kulingana na Biblia, alikuwa kuhani mkuu wa Wayahudi ambaye alikuwa “hana baba wala mama,” na “hana mwanzo wala mwisho” (Mwanzo 14:18, Zaburi 110:4, Waebrania 5:6-10, Waebrania 7:1-20).

Yesu alipaswa kufanana naye na kwenda sambamba naye;


Hakuna sehemu yoyote katika BIBLIA YOTE tunapopata maandiko yanayosema Yesu hana mwanzo wala mwisho.

Ni kwa MUNGU Mwenyezi tu tunapata hivyo, na kwa “mjomba” Melkizedeki.
 

Ukijitoa wazimu ukaja kwa heshima utajibiwa hayo maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…