Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Walifyata? kila siku watu walikuwa wanasema arab contractors hawafai na hawana uzeoefu na ujenzi wa bwawa? Au makala za zitto kabwe ushazisahau? Na Hadi Leo bado wanaamini arab contractors hawafai wanasema Bora angepewa mchinaMbona Arab Contractors watu walifyata mikia au kwasababu ililetwa na Jiwe?.
Tena wengine wakawa wanaikatia na viuno humu.
Kuandika ni rahisi sana, kila mtu anaweza kusema unachosema. Kwa akili ulizo nazo hata hiyo nafasi ya ukarani ulipendelewaSio size yangu.... ni size yenu machawa wa CCM huko Lumumba. Nimeacha kutegemea ajira ya mshahara 9 years ago nikiachia ngazi ya ukurugenzi wa idara... now nimewekeza nakula dividends tuuu....
Kwa hiyo unataka kunipangia Comments za kujibu?Sababu ipi ikiwa mnajijua? Mkishasikia kuna comment mwarabu kasemwa basi akili zenu zinaruka kabisa. Kwani mnaabudu dini au race?
Kwahiyo Zitto ni Mdini sana kwa kuwasema Arab Contractors?zitto kabwe
Kuendekeza udini na kuwa ni watu wenye kufuata dini yao tofauti zao ni nini?Kwasababu hayo mataifa hayaendekezi udini tofauti na mataifa ya Kiarabu
Naanzaje kukupangia na akili yako unaijua mwenyewe?Kwa hiyo unataka kunipangia Comments za kujibu?
Walikufanya nini?hawa waarabu ni watu wa hovyo kabisa
Una matatizo ya akili?? Umesema kipindi Cha Magufuli wale waarabu wa kwenye bwawa watu hawakusema chochote, ndio nikakumbusha makala za zitto kuwasema hao. Na sio zitto tu wengi walikuwa wakiwasema.Kwahiyo Zitto ni Mdini sana kwa kuwasema Arab Contractors?
Mnaabudu dini au race? Hapo roho inauma kweli kuona mwarabu kasemwa. Nyie watu mbona ni wajinga mliopitiliza?Walikufanya nini?
Ni sawa na vile huwezi kukuta mtu auchukie uislamu halafu asiwachukie na waarabu pia.Mnaabudu dini au race? Hapo roho inauma kweli kuona mwarabu kasemwa. Nyie watu mbona ni wajinga mliopitiliza?
Walikufanya nini?
Nyei watu wengine 😀Hawa waarabu ni waharibifu wataharibu nchi yetu
Angalia mfano wa loliondo,ukifika loliondo ni kama upo uarabuni
Nakuhurumia nchi yangu hawa waarabu ni watu wa hovyo kabisa tuombe Mungu apatkane kiongozi atakaewafurusha
Ndani ya london,halafu most ya maofisa wao ni waholland hao jamaaMkuu, wanaendesha Bandari kadhaa za Uk.
Humu kuna watu wakisikia neno "Waarabu" wanapatwa na alergy.
How?Kama mwarabu kapewa bandari tumeisha
Ni swala la muda tu
Uharibifu mkubwa unaenda kutokea ktk nchi yetu
Nikupe kitu,hawa wenzetu weupe wanapokuja afrika ni sisi wenyewe ndio tunawaharibu,hamna mtu asietaka kupata kwa urahisi so iwapo baadhi ya viongozi wakiweka uzalendo kando na kufikiria matumbo yao unadhani watakataa,hao dp world hamna waliposhindwa kwa europe na wanaendesha bandari kibao,kama watakuja kweli waachwe wafanye kazi yao,ni aibu bandari inayotumiwa na nchi karibia 4 halafu kuendeshwa kijinga jingaInaweza kutokea zaidi ya hivyo, DP world sio malaika kuna nchi pia hawakuwa na ufanisi. Kikubwa waongeze ufanisi kidogo tofauti na waliopo. Kumbuka hii ni bongo
Dubai world wanamyanganya bukoba boy shavu..... Sawa tuDP world ni mara 1000 afadhali kuliko TICS, TICS ni wahuni fulani wa ndani wameingia ubia na kuwaingiza chaka jamaa kule Hongkong, DIP world ni wazuri lakini tu maslahi ya TAIFA yazingatiwe.
Kuna wana JF wengi humu wamefika ulaya kwaajili yangu. Siko huko uliko wewe leo mnagombania kazi za ukarani mwishowe mnadhulumiana. Pole sana na jitahidi kupambana na bahati mbaya ya kihustoria kwenu bwana wenu amelala yooo sijui nani atakuja kuwainua tena....Kuandika ni rahisi sana, kila mtu anaweza kusema unachosema. Kwa akili ulizo nazo hata hiyo nafasi ya ukarani ulipendelewa
Wanaowachukia wazungu wanachukia ukristo? Na wanaochukia wachina wanachukia dini gan?Ni sawa na vile huwezi kukuta mtu auchukie uislamu halafu asiwachukie na waarabu pia.
Shida mnaona watu weupe ni malaika. Hata kabla ya viongozi wetu kuweka kando wao pia huwaweka viongozi kando kuanzia tender mpaka utendaji. Nchi karibu nyingi hizi za ulimwengu wa tatu wanaofanya looting ni hao weupe.Nikupe kitu,hawa wenzetu weupe wanapokuja afrika ni sisi wenyewe ndio tunawaharibu,hamna mtu asietaka kupata kwa urahisi so iwapo baadhi ya viongozi wakiweka uzalendo kando na kufikiria matumbo yao unadhani watakataa,hao dp world hamna waliposhindwa kwa europe na wanaendesha bandari kibao,kama watakuja kweli waachwe wafanye kazi yao,ni aibu bandari inayotumiwa na nchi karibia 4 halafu kuendeshwa kijinga jinga