Waarabu wanachezea mali alizowapa Mungu wakati duniani wapo Waislamu ambao hawapati hata mlo mmoja kwa siku

Waarabu kwa kushirikiana na washirika wao wa BRICS ndyo nchi zinazo ongeza ushawishi wake duniani kwa sasa hasa katika uchumi.
Na wana hela haswa
India ameanza kununua mafuta UAE kwa local currency yao hakuna $$ tena
Mwanzo mgumu ila dunia haina mbabe sasa hata US anadiwa na China
 
Na wana hela haswa
India ameanza kununua mafuta UAE kwa local currency yao hakuna $$ tena
Mwanzo mgumu ila dunia haina mbabe sasa hata US anadiwa na China
Lakni huo ni mtego, kumbuka BRICS ndyo wanahimiza matumizi ya Digital Currency, na Huko ndipo wanataka kuipeleka dunia kifungoni
 
Sijaomba kusaidiwa, ila nimeeleza ni namna gani waarabu wanachezea pesa pasipo kusaidia Waislamu wenzao.

Mimi sina shida ya Msaada wa mtu, au nimewahi kukuomba hela ya kula?
Uzi wako unaonyesha wazi kabisa hali uliyonayo,u can't run from yourself.
 
Usiseme waarabu ,sema viongozi mamluki wa Kizayuni waliojipenyeza kama waarabu feki wanaofanya kazi ya kutawala mataifa ya kiarabu kwa maslahi ya mazayuni hapo mashariki ya kati .
 
Usiseme waarabu ,sema viongozi mamluki wa Kizayuni waliojipenyeza kama waarabu feki wanaofanya kazi ya kutawala mataifa ya kiarabu kwa maslahi ya mazayuni hapo mashariki ya kati .
Umesema vyema mkuu, wamevaa kanzu na vilemba lakini mioyoni mwao ni tofauti.
 
Jordan ,Egypt ,Oman ,Saudia , UAE , ni mfano wa mataifa ya kiarabu yanayoongozwa na haya mapandikizi ya Kizayuni
 
Jordan ,Egypt ,Oman ,Saudia , UAE , ni mfano wa mataifa ya kiarabu yanayoongozwa na haya mapandikizi ya Kizayuni
Pia sio uarabuni tu, hata viongozi wa mataifa mengine duniani wana asili au wamepandikizwa na hao wazayuni( Zionist)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…