Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #81
Huna hoja ya msingi zaidi ya kejeli na maneno ya hovyoHujaeleweka na mada yako! Ni kwamba unataka upewe msaada na waarabu wakuoe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hoja ya msingi zaidi ya kejeli na maneno ya hovyoHujaeleweka na mada yako! Ni kwamba unataka upewe msaada na waarabu wakuoe?
Na wana hela haswaWaarabu kwa kushirikiana na washirika wao wa BRICS ndyo nchi zinazo ongeza ushawishi wake duniani kwa sasa hasa katika uchumi.
Jibu swali,wewe yako uliipotezaje? Mimi nimekuuliza wewe,sijawauliza mabinti wa dunia nzima.Kwa hiyo kila binti aliyepoteza ubikra duniani ni kwa sababu ya njaa. Bangi mbaya sana.
Lakni huo ni mtego, kumbuka BRICS ndyo wanahimiza matumizi ya Digital Currency, na Huko ndipo wanataka kuipeleka dunia kifungoniNa wana hela haswa
India ameanza kununua mafuta UAE kwa local currency yao hakuna $$ tena
Mwanzo mgumu ila dunia haina mbabe sasa hata US anadiwa na China
Uzi wako unaonyesha wazi kabisa hali uliyonayo,u can't run from yourself.Sijaomba kusaidiwa, ila nimeeleza ni namna gani waarabu wanachezea pesa pasipo kusaidia Waislamu wenzao.
Mimi sina shida ya Msaada wa mtu, au nimewahi kukuomba hela ya kula?
Level yako bado ndogo sana kuweza kuelewa hoja zangu, pole hiyo ni nature ya ulivyoumbwaHuna hoja ya msingi zaidi ya kejeli na maneno ya hovyo
Fafanua mkuu, ni biashara kivipi, au ni biashara ya kanzu na misahafu?Uislamu wenyewe ni biashara ya waarabu..
Hoja gani ulizonazo zaidi ya maneno ya kihuni tuLevel yako bado ndogo sana kuweza kuelewa hoja zangu, pole hiyo ni nature ya ulivyoumbwa
Bado hujaelewa ram yako ndogo sana kuweza kuchakachua mamboHoja gani ulizonazo zaidi ya maneno ya kihuni tu
Kuchakachua matusi na maneno ya hovyo?Bado hujaelewa ram yako ndogo sana kuweza kuchakachua mambo
Usiseme waarabu ,sema viongozi mamluki wa Kizayuni waliojipenyeza kama waarabu feki wanaofanya kazi ya kutawala mataifa ya kiarabu kwa maslahi ya mazayuni hapo mashariki ya kati .Katika nchi za uarabuni, huko mwenyezi Mungu ametandika kwenye ardhi mali kubwa sana ya petroli. Wanaichezea na kuitumia wale wenye nafasi za juu au viongozi tu na baadhi ya watu wachache.
Na wala hawaendi nayo mali ile katika njia iliyo nyooka, wanaharibu na kuchezea ilhali wao ndyo waliopewa wajibu na Mungu kuwatupia macho waislamu dunia nzima. Inafika wakati wanakatazana au kupunguza uzalishaji kwa kuhofia kupungukiwa wakati sio wao waliyo iweka bali ni Mungu pekee.
Zipo baadhi ya nchi wanaweza kuzalisha mamilioni ya mapipa kwa wakati mmoja, kiasi ambacho kinaweza kutumika japo robo tu kusaidia Waislamu wengine duniani ambao hata mlo mmoja kwa siku ni taabu kupatikana.
Lakni wameharibu sana na kuchezea sana mali hizo kwa mambo ambayo ni batili, sasa hivi mashekhe huko uarabuni wanashindana kununua na kustawisha timu na wachezaji wa mpira, wanalipa mabilioni ya fedha kwa vilabu vya mpira wakati duniani wapo waislamu ambao hawana hata maji ya kunywa.
Wao ndyo viongozi na wenye dhamana ya kuwatizama Waislamu wengine duniani, na hizo mali hawakupewa kwa bahati mbaya ila kuzitumia katika njia yenye manufaa.
Wataulizwa na Mungu wao walitumiaje hizo mali kuimarisha uislamu na waislamu na watakosa la kujibu.
Dogo kakojoe ulale ukikua utajua namaanisha niniKuchakachua matusi na maneno ya hovyo?
Umesema vyema mkuu, wamevaa kanzu na vilemba lakini mioyoni mwao ni tofauti.Usiseme waarabu ,sema viongozi mamluki wa Kizayuni waliojipenyeza kama waarabu feki wanaofanya kazi ya kutawala mataifa ya kiarabu kwa maslahi ya mazayuni hapo mashariki ya kati .
Sawa, kile kitabu nilichokupa ulisoma?Dogo kakojoe ulale ukikua utajua namaanisha nini
Dah! Kaka nisamehe sana, samahani sana sikujua kama nabishana na wewe, nakuheshimu sana Sema sijakalili ID yakoSawa, kile kitabu nilichokupa ulisoma?
Pia sio uarabuni tu, hata viongozi wa mataifa mengine duniani wana asili au wamepandikizwa na hao wazayuni( Zionist)Jordan ,Egypt ,Oman ,Saudia , UAE , ni mfano wa mataifa ya kiarabu yanayoongozwa na haya mapandikizi ya Kizayuni
Nilikuwa safarini kidogo ila ninampango nianze kukisomaSawa, kile kitabu nilichokupa ulisoma?
Haina noma kaka, hii ni mitandao tu.Dah! Kaka nisamehe sana, samahani sana sikujua kama nabishana na wewe, nakuheshimu sana Sema sijakalili ID yako